Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mkuu mwenyewe 😀Hahah,kwanin mkuu?
hahah,saw mkuu.Niite yooote ila si Makond
Saw mkuu,pamoja san.Mkuu asante kwa kutukumbusha
Hahah,hat mi naona.Mkuu mwenyewe 😀
Watakuw wao,waloanzisha jf akina max mkuu.mana wote tmejiunga humu tumekuta ivo.Kwani lilianzaje ua nani alilibuni?!
Pamoja san,mkuuAsante sana kwa kutukumbusha mkuu
Hahah,sawsaw kabisa mkuu.mkuu thread ya mwaka hii mkuu
Hapan ase,mkuu huyu sio mtu wa kumwacha apotee kirahis ivi kwa jukwaa.though haonekani ila anatupa heshma fulani ivi,na kututofautisha na mitandao mingne ya kawaida.Jina la mkuu!!!!!
Kwani huyo mkuu ni nani?
Mwanzo alikua anatumia jina gani?
Kwann usimuache mkuu mwenyewe aje aseme kua jina lake limepotea?
Kwani mara ya mwisho alionekana wapHapan ase,mkuu huyu sio mtu wa kumwacha apotee kirahis ivi kwa jukwaa.though haonekani ila anatupa heshma fulani ivi,na kututofautisha na mitandao mingne ya kawaida.
Hapahapa jukwaani,sema saiv anaonekana kwa nadra sana.Kwani mara ya mwisho alionekana wap
haaaaaa,haiwezekan...Nchi hii INA mkuu mmoja tu!
...wacha weeee.,basi toa hiyo 'a',weka 'u' hapo!Niite yooote ila si Makond