Anatakiwa kupata Affidavit ya majina.Salaam wanajukwaa la sheria.
Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja kusumbua kwenye vyeti mbeleni. Kwa sasa nifanye nini kurekebisha hilo? Msaada tafadhali.
Sawa mwalimuMwisho wa kubadilisha Jina/majina ni kidato cha tatu.
Hivyo mtoto akishaingia kidato cha kwanza tu, nenda shule husika waambie unahitaji kubadilisha majina ya mtoto yaendane na unavyoona wewe
Ni rahisi sana ndugu mzazi
Shukrani sana mkuuMwisho wa kubadilisha Jina/majina ni kidato cha tatu.
Hivyo mtoto akishaingia kidato cha kwanza tu, nenda shule husika waambie unahitaji kubadilisha majina ya mtoto yaendane na unavyoona wewe
Ni rahisi sana ndugu mzazi