tatizo wanaume hupenda kuwa too dominance katika maamuzi,
jina la mtu wa film sijapenda kwa upande wangu,
ila kama kumetumika mchakato wa kupata jina si kitu kibaya.
Mfano, mahali, kitu, event au hali yoyote ile.
Nilipopata mtoto, kipindi nikiwa preg. Nilikaa muda mrefu kupanga jina na sababu juu ya jina la mtoto nitayempata.
Nikachagua jina la particular feature, yenye alot of wonders na hizo wonders hutokea miezi amboyo ninge/li jifungua, means ndiyo pia nyota ya mtoto.
Kipindi chote hicho 'he' abandoned us, alipozaliwa mtoto akachukua mandatory yote ya jina na mengineyo.
Nikapropose lile liwe jina la utoto, complain ikaja nampa jina la my cohabiting partner!!!!!!! A thing which never existed.
So, the to of you may find out a proper way ya kumpa jina ili liwe na baraka kwa mtoto.