Jina la mtoto...

Jina la mtoto...

Kuna majina ya kizungu=john

kuna majina ya kiafrika=ambwene

kuna majina ya kiarabu= ramadhan

hakuna majina ya kiislamu wala ya kikristo
 
Here is some little help, if they may need it and for those interested, baby's names may be obtained from this baby name advisor:
http://www.babynamescountry.com/babynamesadvisor.html
 
ishu sio kurithi jina..
Ishu majina ya kwenye tamthilia ni sahihi kwa watoto???????

Tatizo wanaume hupenda kuwa too dominance katika maamuzi,
Jina la mtu wa film sijapenda kwa upande wangu,
ila kama kumetumika mchakato wa kupata jina si kitu kibaya.

Mfano, mahali, kitu, event au hali yoyote ile.

Nilipopata mtoto, kipindi nikiwa preg. nilikaa muda mrefu kupanga jina na sababu juu ya jina la mtoto nitayempata.
Nikachagua jina la particular feature, yenye alot of wonders na hizo wonders hutokea miezi amboyo ninge/li jifungua, means ndiyo pia nyota ya mtoto.
Kipindi chote hicho 'he' abandoned us, alipozaliwa mtoto akachukua mandatory yote ya jina na mengineyo.
Nikapropose lile liwe jina la utoto, complain ikaja nampa jina la my cohabiting partner!!!!!!! A thing which never existed.

So, the to of you may find out a proper way ya kumpa jina ili liwe na baraka kwa mtoto.
 
tatizo wanaume hupenda kuwa too dominance katika maamuzi,
jina la mtu wa film sijapenda kwa upande wangu,
ila kama kumetumika mchakato wa kupata jina si kitu kibaya.

Mfano, mahali, kitu, event au hali yoyote ile.

Nilipopata mtoto, kipindi nikiwa preg. Nilikaa muda mrefu kupanga jina na sababu juu ya jina la mtoto nitayempata.
Nikachagua jina la particular feature, yenye alot of wonders na hizo wonders hutokea miezi amboyo ninge/li jifungua, means ndiyo pia nyota ya mtoto.
Kipindi chote hicho 'he' abandoned us, alipozaliwa mtoto akachukua mandatory yote ya jina na mengineyo.
Nikapropose lile liwe jina la utoto, complain ikaja nampa jina la my cohabiting partner!!!!!!! A thing which never existed.

So, the to of you may find out a proper way ya kumpa jina ili liwe na baraka kwa mtoto.

co habiting partner???????
Mke mwenza sio???????
 
Ishu ya ya jina la mtoto the way i see it ni too personal, na ni ya kuinyongelea chumbani kwenu, or rather you can include your siblings!
 
Skubaliani na majina ya kwenye tamthilia hata kidogo! wenzetu wanapeana majina kwa maana zao, ss tunaiga tu. Mpe mtoto jina lenye maana katika jamii.
Mhhhhhhhhhh! sio muhimu jina kua na maana ktk jamii
nachoweza kushauri kati ya majina hayo mawili duh yote kwangu naona hayfai kwa sababu zifuatazo
1, la kwenye tamthilia halina sababu za msingi
2, la bibi yake limetumika sana na kiukweli si jina
lenye sifa nzuri naweza hata kuhisi huyo bibi
yakeni mtu wa namna gani sasa yanini yote hayo
ya nini? nawaomba mrudi chumbani ila muangalie
msimmbemende mtoto ili mtuletee
jina zuri la mtoto na wewe kakangu mwachie nafasi wifi
yangu ampe jina mtoto kwakua ni jinsia yake jina la mama yako ni mzigo kwa mtoto wenu halina tena baraka zote zimemalizwa na waliotangulia hizi ni zama
za utandawazi! si za Mfumo dume tena
 
Hapo umemaliza Frankie, mwekeni mtoto pembeni au mpelekeni chumbani kwa dada ili mjadiliane na kukubaliana jina la mtoto.

Mhhhhhhhh we suzzie wakimpeleka mtoto kwa dada mh nnaogopa miye wasije wakatumia muda huo kuotesha mwingine bureeeeeeee! mtoto bado mdogo uoni kama wanaweza kuathiri afya ya mtoto hawa? tena inabidi wawe makini kweli! ila wasikose kutujulisha wamempa jina gani mtoto huyu!
 
Mkubwa nadhani majina ya kwenye tamthilia sio mazuri maana kwanza yale majina yanakuwa sio majina yao wenyewe bali wametumia tu kwenye hiyo tamthilia so mimi nashauri ampe jina la bibi yake!
 
...baba mtoto alitaka kumpa
mtoto jina la mama yake ambalo ni mwajabu.....
Mama mtoto hataki jina hilo anadai la kishamba...
Yeye anataka mtoto aitwe preta jina la msichana wa
kwenye tamthilia ya wa brazil

Nynyi mnaonaje????????????

Tuwashauri vipi???????

...Mwajabu-Petra litamfaa, au unaligeuza; Petra-Mwajabu...
 
Kama vp si wampe tu jina kama yale ya makabila ya kusini mwa nchi yetu mara utasikia chui,cacakuona...
 
Si wampe majina yote mawili, kwani shida iko wapi?
 
Mkubwa nadhani majina ya kwenye tamthilia sio mazuri maana kwanza yale majina yanakuwa sio majina yao wenyewe bali wametumia tu kwenye hiyo tamthilia so mimi nashauri ampe jina la bibi yake!
Pamoja na hayo,hao mastaa wanaozibeba hizo tamthilia huwa wanaact maisha ya huzuni,mashaka na wasiwasi mwingi mpaka waje wapate ushindi badae kwa dhahama kubwa.Hapa unaweza muambukiza mwanaop hayo maisha ya mashaka na mabalaa.
 
Hivi dunia ya leo bado kuna cha bibi sijui babu anampa mtoto jina? Wazazi kweli hawapo serious, siku hizi jamani mzazi unatakiwa kumpa mtoto jina toka akiwa bado yupo tumboni.Maana dunia ya sasa unaweza kujua jinsia ya mtoto wako bado angali yupo tumboni.
Anyway,jina la Mwajabu wala sio jina zuri. Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa jina alikuwa na vituko balaa, Mwajabu alikuwa kweli na maajabu ya ajabu.
 
kwani mwajabu maana yake ni nini? labda wale waislamu watuelezee
 
kuna dada mmoja ilitokea hivihivi

baba wa mtoto kapropose jina la mama yake binti akataa, akamwita baby-yanka
mpaka leo huyo mtoto hana nywele!!

wamwite jina jina la bint yangu ''blanca'' hili hatalia sana na nywele zitaota na afya itakuwepo.
 
Mbona kuna majina mazuri tu mengi, na ukimuita mtoto kweli anakuja kuwa kama lile jina lilivyo, haya ni baadhi tu;
Kuna Faith,Glory,Brianna, Gladness, loveness,Michelle, Nicole, natasha,Gift,Catherine, Jasmine na mengine mengiiiiiii!!
 
there you are ma baby gal
 
Mbona kuna majina mazuri tu mengi, na ukimuita mtoto kweli anakuja kuwa kama lile jina lilivyo, haya ni baadhi tu;
Kuna Faith,Glory,Brianna, Gladness, loveness,Michelle, Nicole, natasha,Gift,Catherine, Jasmine na mengine mengiiiiiii!!

Hilo la mama yangu, safi sana hilo. Au la binti yangu Lilian. watu wenye majina hayo huwa wametulia sana na ni wacha Mungu.
 
Back
Top Bottom