CLAY KITUMBOY
Senior Member
- Sep 8, 2009
- 110
- 4
here is some little help, if they may need it and for those interested, baby's names may be obtained from this baby name advisor:
http://www.babynamescountry.com/babynamesadvisor.html
ishu sio kurithi jina..
Ishu majina ya kwenye tamthilia ni sahihi kwa watoto???????
tatizo wanaume hupenda kuwa too dominance katika maamuzi,
jina la mtu wa film sijapenda kwa upande wangu,
ila kama kumetumika mchakato wa kupata jina si kitu kibaya.
Mfano, mahali, kitu, event au hali yoyote ile.
Nilipopata mtoto, kipindi nikiwa preg. Nilikaa muda mrefu kupanga jina na sababu juu ya jina la mtoto nitayempata.
Nikachagua jina la particular feature, yenye alot of wonders na hizo wonders hutokea miezi amboyo ninge/li jifungua, means ndiyo pia nyota ya mtoto.
Kipindi chote hicho 'he' abandoned us, alipozaliwa mtoto akachukua mandatory yote ya jina na mengineyo.
Nikapropose lile liwe jina la utoto, complain ikaja nampa jina la my cohabiting partner!!!!!!! A thing which never existed.
So, the to of you may find out a proper way ya kumpa jina ili liwe na baraka kwa mtoto.
Mhhhhhhhhhh! sio muhimu jina kua na maana ktk jamiiSkubaliani na majina ya kwenye tamthilia hata kidogo! wenzetu wanapeana majina kwa maana zao, ss tunaiga tu. Mpe mtoto jina lenye maana katika jamii.
Hapo umemaliza Frankie, mwekeni mtoto pembeni au mpelekeni chumbani kwa dada ili mjadiliane na kukubaliana jina la mtoto.
...baba mtoto alitaka kumpa
mtoto jina la mama yake ambalo ni mwajabu.....
Mama mtoto hataki jina hilo anadai la kishamba...
Yeye anataka mtoto aitwe preta jina la msichana wa
kwenye tamthilia ya wa brazil
Nynyi mnaonaje????????????
Tuwashauri vipi???????
Pamoja na hayo,hao mastaa wanaozibeba hizo tamthilia huwa wanaact maisha ya huzuni,mashaka na wasiwasi mwingi mpaka waje wapate ushindi badae kwa dhahama kubwa.Hapa unaweza muambukiza mwanaop hayo maisha ya mashaka na mabalaa.Mkubwa nadhani majina ya kwenye tamthilia sio mazuri maana kwanza yale majina yanakuwa sio majina yao wenyewe bali wametumia tu kwenye hiyo tamthilia so mimi nashauri ampe jina la bibi yake!
kwani mwajabu maana yake ni nini? labda wale waislamu watuelezeeHivi dunia ya leo bado kuna cha bibi sijui babu anampa mtoto jina? Wazazi kweli hawapo serious, siku hizi jamani mzazi unatakiwa kumpa mtoto jina toka akiwa bado yupo tumboni.Maana dunia ya sasa unaweza kujua jinsia ya mtoto wako bado angali yupo tumboni.
Anyway,jina la Mwajabu wala sio jina zuri. Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa jina alikuwa na vituko balaa, Mwajabu alikuwa kweli na maajabu ya ajabu.
kwani mwajabu maana yake ni nini? labda wale waislamu watuelezee
there you are ma baby galMbona kuna majina mazuri tu mengi, na ukimuita mtoto kweli anakuja kuwa kama lile jina lilivyo, haya ni baadhi tu;
Kuna Faith,Glory,Brianna, Gladness, loveness,Michelle, Nicole, natasha,Gift,Catherine, Jasmine na mengine mengiiiiiii!!
Mbona kuna majina mazuri tu mengi, na ukimuita mtoto kweli anakuja kuwa kama lile jina lilivyo, haya ni baadhi tu;
Kuna Faith,Glory,Brianna, Gladness, loveness,Michelle, Nicole, natasha,Gift,Catherine, Jasmine na mengine mengiiiiiii!!