Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

Hakimu aliruhusu kesi iendelee baada ya jina kurekebishwa, kama jina lilipatiwa mwanzoni wakati wa kesi inaanza kusikilizwa sioni sababu kwanini mashahidi waitwe upya, mashahidi kabla ya kutoa utetezi wao huulizwa kama wanamtambua mtuhumiwa, nao hujibu ndio, kisha kumuwekea mtuhumiwa mkono begani ndipo huanza kutoa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa.
 
Kama Mbowe anavyojifunza sasa hivi huko Ukonga.
 
Yes, this is what I mean.

Typing error haibadilishi facts of the case.
 
Kwani physicaly mtu alieshtakiwa ni mwingine au ni huyo huyo unaesema jina lake limekosewa?
 
Unamwachiaje jambazi sugu arudi mitaani?
 
Na mimi kusikiliza kwangu kote sijaona shahidi akisema ameporwa zaidi ya kusema amepigwa na kuteswa tu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Mashahidi wao walitoa ushahidi dhidi ya mtu (mtu waliyemuona kwenye tukio) ambaye alisimama mbele yao na kumtambua hapo mahakamani bila kujali jina lake anaitwa nani. Mtu aliyenishambulia akifikishwa mahakamani na nikamtambua hawi huru kwa sababu silijui jina lake.
 
Ataishi maisha mabaya na kuwa na maadui wengi hatimae atakufa kifo kibaya mapema.
Naona umeamua kuwa mtoa hukumu, bila shaka wewe utaishi miaka 200 na hutakuwa na adui!
 
Inategemea na maombi ya mawakili wa serikali walivyofanya amendment ya kifungu cha 234 CPA CAP 20 RE 2019 ambacho kina vipengele vingi mahsusi ambavyo sio lazima mashahidi au ushahidi uanze upya
 
Basi tujuze
Tujuze ilikuwaje aliitika kwa jina sio lake,kila siku
 
Kumbuka hata akienda kwenye rufaa ni lazima athibitishe kuwa the purported clerical error occasioned to miscarriage of justice
Kwa kuwa hujajishughulisha na practice ya sheria kwa muda mrefu ni vema ukajipa muda wa kupitia recent authorities. Sheria ni taaluma ambayo kila siku mwanasheria anajifunza, especially for those who choose to practice law
 
OBJECTION.
 
Kumbe sheria ni za hovyo hivyo! Sasa mbona wanajiita wasomi wakati wamesoma ngeini mwanzo mwisho. Hivi kuna mwanasheria anauejua hata log2. Mi nawaonaga wanasheria ni vilaza wa kutupwa na sheria nu uhanja unanja tu kila mtu anaweza kuwa mwanasheria bila hata kusoma ilimradi uwe mjanja.
 
kwani shahidi walikuwa akiulizwa wanataja SAYABA AU SABAYA! mtu kaambiwa akamtambue sabaya na akaenda kumgusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…