NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
NAKAZIAHuyo mnayemuita ukuta wa Yeriko ukimchungunza kwa makini utaona ni mzuri kublock mipira yaani one v one kumpita huwa ni ngumu. Udhaifu wake sasa, jamaa anakuwa overconfident to the extent anaexpose makosa kibao hususani anapokuwa na mpira Passing zake hususani katika eneo lake huwa zinatia shaka. Na akiendelea hivyo balls in the net zitaokotwa sana.