min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
😆😆😆Kumbe ndio hivyo basi hapo sio kabisa mkuu nimekua nikiwinda digidigi na kuchunga mkuuUnajua ishu ya wazazi kujua jina la dactar..
Bado wakakupa wewe.. hii ina tafsiri kitu mkuu acha kutificha.
Au labda nikupe maana ya neno ""wakishua"" yaani ni mtoto ambaye amelelewa katika mazingira ya RAHA hamna shida ndogondogo huko..
Gari la njano.. nguo hafui yeye