Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Mkuu kuzalishwa na mkorea tuu..
Tena hospital tayari tosha hyo ni ushua.

Na wakapata wasaa wa kufahamiana mpaka majina. Inaonesha how your parents are...
😁😁 hamna mkuu hizo hospital za mission nyingi huwa wanashirikiana uzoefu na matabibu kutoka njee na hospital za mission ni za kawaida tu mkuu.
 
😁😁 hamna mkuu hizo hospital za mission nyingi huwa wanashirikiana uzoefu na matabibu kutoka njee na hospital za mission ni za kawaida tu mkuu.
Unajua ishu ya wazazi kujua jina la dactar..

Bado wakakupa wewe.. hii ina tafsiri kitu mkuu acha kutificha.

Au labda nikupe maana ya neno ""wakishua"" yaani ni mtoto ambaye amelelewa katika mazingira ya RAHA hamna shida ndogondogo huko..
Gari la njano.. nguo hafui yeye
 
WAkati nasoma masomo ya sekondari nilikua nikikaa kwenye dawati au meza kusoma nilikua si nyanyuki hovyo hadi muda wa break au mpaka majogoo yani kutoboa ozone,basi washikaji zangu wakaanza kuniita jiwe(Immovable).

Hiyo angavu hata sijui ilikujaje myb ni katika kuleta radha tu.
 
Back
Top Bottom