Ni aka nilipewa nikiwa advance na washkaji. jina likapaa zaidi nikiwa chuo.,kuanzia mwny nyumba ,hostel mates wakawa wananijua kwa jina hilo. nilikuwa napenda kuna a girl wa next door basi utakuta anapita kwwny corridor anaita hv kimadaha
"sparta"
mpk leo wadada wa chuo kwa simu wakinipigia simu huniita kwanza Sparta then na lisauti langu huwa naiitikia namna fulani hivi.
ila huwa sielewi yule mwamba aliona nn akaniita Sparta ingali me ni mpole sana huwezi nidhania kama ni mpole ukisikia jina.
anyways nikajipa jina hilo Jf.