Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

The- the
1- one
2- to
b- be
di- disturbed

The one to be disturbed! Sipendi ugomvi. Mara nyingi huwa nachokozwa na wagomvi wangu.
Imenisisimua hii kitu kumbe hiz id zina mengi ndani yake[emoji3525]
 
Inatamkwa loo chah ni kispanish inasimama badala ya neno fight/struggle

kwenye utafutaji nilijikuta nimefika kwenye mji mmoja unaitwa Acapulco huko Mexico haiba yangu ni mtu mpole sana lakin ilibidi nibadilike na kuwa mtu mwenye tabia tofauti na kuwa mtataa sana ili niishi sikua na chaguo zaidi ya kuwa mtu mgomvi ili kila mtu asiwe huru kunizingua
jamaa wakawa wananiita Lucha jina langu halisi hawakua wanalijua wakanipa a.k.a

Kwa kiswahili ni sawa na useme yule jamaa mgomvi
Nimejifunza kitu mkuu [emoji123]
 
King yedidiah
King- mfalme
Yedidiah; Rafiki wa Mungu.. ni jina alilopopewa suleiman na nabii nathan ikiwa ni ujumbe kutoka kwa Mungu baada ya Mungu kumsamehe daudi dhambi ya kuzini na mke wa uria mhiti.
Noted [emoji3578]
 
Namkubali sana Uhuru Kenyatta na ndio asili ya hili jina "Moja"ni kama swaga nilikuwa napenda au huwa napenda kuitumia hadi Leo kwa watu wa karibu mfano ni rahisi kusema "Samia Moja "ye anaitikia oi oi.....
 
Back
Top Bottom