Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Sayoo , halina maana yeyote aisee
Nakumbuka pindi nacreate account jf , nilitaka kutumia jina langu halisi ,
Kuna jamaa yangu mmoja yupo hum , akanikataza kua hum jf hua hawatumii majina yao halisi hapo hapo nikabadili
Nikajikuta nimesema " say ooooooo"

Nikapata sayoo
 
Alikueleza ni kwa Nini hawatumii majina halisi [emoji16]
 
Back
Top Bottom