NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #241
Noted [emoji3578]Ni aka nilipewa nikiwa advance na washkaji. jina likapaa zaidi nikiwa chuo.,kuanzia mwny nyumba ,hostel mates wakawa wananijua kwa jina hilo. nilikuwa napenda kuna a girl wa next door basi utakuta anapita kwwny corridor anaita hv kimadaha
"sparta"
mpk leo wadada wa chuo kwa simu wakinipigia simu huniita kwanza Sparta then na lisauti langu huwa naiitikia namna fulani hivi.
ila huwa sielewi yule mwamba aliona nn akaniita Sparta ingali me ni mpole sana huwezi nidhania kama ni mpole ukisikia jina.
anyways nikajipa jina hilo Jf.
Ali kiba au [emoji16]
Kwani nime andika kiba 4 real πAli kiba au [emoji16]
Au ulikua chairman wa CHAPUTA πππ€£π€£Ni aka nilipewa nikiwa advance na washkaji. jina likapaa zaidi nikiwa chuo.,kuanzia mwny nyumba ,hostel mates wakawa wananijua kwa jina hilo. nilikuwa napenda kuna a girl wa next door basi utakuta anapita kwwny corridor anaita hv kimadaha
"sparta"
mpk leo wadada wa chuo kwa simu wakinipigia simu huniita kwanza Sparta then na lisauti langu huwa naiitikia namna fulani hivi.
ila huwa sielewi yule mwamba aliona nn akaniita Sparta ingali me ni mpole sana huwezi nidhania kama ni mpole ukisikia jina.
anyways nikajipa jina hilo Jf.
Kuna mtu mnamtafuta ili mpate pa kuanzia, ngastuka machale kun-desa.Uzi ulikuwepo
hap sina Mke[emoji23][emoji23][emoji23] hiko kingozi nasikia kina raha yake bado natafuta masai mpaka nishuhudie kwa macho yangu
[emoji123][emoji3578]MATIC_
nilipenda position and playing style ya NEMANJA MATIC toka yupo chelsea mpaka anakwenda MAN U.... ikabidi na mm nijiite matic nikienda mazoez kwenye boli..
Lugha gani mkuu hiiTraveler