Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

Ni aka nilipewa nikiwa advance na washkaji. jina likapaa zaidi nikiwa chuo.,kuanzia mwny nyumba ,hostel mates wakawa wananijua kwa jina hilo. nilikuwa napenda kuna a girl wa next door basi utakuta anapita kwwny corridor anaita hv kimadaha
"sparta"
mpk leo wadada wa chuo kwa simu wakinipigia simu huniita kwanza Sparta then na lisauti langu huwa naiitikia namna fulani hivi.

ila huwa sielewi yule mwamba aliona nn akaniita Sparta ingali me ni mpole sana huwezi nidhania kama ni mpole ukisikia jina.
anyways nikajipa jina hilo Jf.
Noted [emoji3578]
 
Au ulikua chairman wa CHAPUTA 😂😂🤣🤣
Ukawa unapeperusha vyema bendera ya chama.....Natania in JPM Voice....

Maana SPARTACUS ni lipicha la series za kibabe na Kuna sexual intercourse scene nyingi huwezi angalia na mzazi au ndugu mnao heshimiana nao...
 
MATIC_

nilipenda position and playing style ya NEMANJA MATIC toka yupo chelsea mpaka anakwenda MAN U.... ikabidi na mm nijiite matic nikienda mazoez kwenye boli..
 
[emoji123][emoji3578]
 
GENTAMYCINE ( ANTIBIOUTIQUE ) ni Jina nililoamua Kutumia Kuwakilisha Dawa Kuu ya Kutibu Magonjwa Sugu ( Fangasi ) za Mwilini na Ubongoni ambazo huwafanya baadhi ya Watu kuwa Wapumbavu ( Mapopoma ) Waliotukuka hivyo nawatibu kwa Kuwanyoosha ili wawe na Akili Kubwa na Kiukweli Dawa ya GENTAMYCINE imetibu Mipopoma mingi hapa na hata Kwingineko.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Huna akili
 
Loading failed..

Mzee wa propaganda ,maisha ni siasa za hovyo kuwa vuruga watu, ukijaribu kuni iga lazima ufeli labda tuu ni kuambie hiki ndiyo sahihi au uwe na akili kubwa kunielewa tofauti na hapo sieleweki na lazima upotee.

Nilijiita hilo jina baada ya jamaa mmoja kuni spy akadhani data alizo nazo ni sahihi na zinatosha kunitoa mchezoni kumbe mimi nilikua na ishi kinyume cha maisha uku ukweli na ujua mimi inshort hata kivuli changu kwa sasa hivi sikiamini tena.
 
Hahaaa always uko code orange mode
 
Tabia ya kupenda kutumia akili badala ya hisia au moyo.ntakupa jibu litakalo kushangaza sana hasa kwenye mijadala ya maana au utani wa maana.

Naepuka mno kuusikiliza moyo kwenye mambo ya msingi.

Hiyo ndoo asili ya code name yangu
 
safi sana mkuu
 
Back
Top Bottom