NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
- Thread starter
-
- #261
kweli mkuu nimejifunza kituLoading failed..
Mzee wa propaganda ,maisha ni siasa za hovyo kuwa vuruga watu, ukijaribu kuni iga lazima ufeli labda tuu ni kuambie hiki ndiyo sahihi au uwe na akili kubwa kunielewa tofauti na hapo sieleweki na lazima upotee.
Nilijiita hilo jina baada ya jamaa mmoja kuni spy akadhani data alizo nazo ni sahihi na zinatosha kunitoa mchezoni kumbe mimi nilikua na ishi kinyume cha maisha uku ukweli na ujua mimi inshort hata kivuli changu kwa sasa hivi sikiamini tena.
hahahahaha we mkali naona unavyochanana na vijanaUngenivulia Chupi yako Chafu ili Nikukandamize nao wote?
Mtata baada ya kumpasua mtu 😂🦅Vishu Mtata
Vishu ni Nick name yangu kipind napenda usanii na wasanii, Mtata lilikuja tu.
Mnunuliempaka sahivi aunywiii ?
Ubgemalizia kusema ni dege lenye mabiti yakwenda 😂😂😂Secretarybird ni ndege mbadi mno ambaye hana huruma na kiumbe dhaifu ajitokezaye mbele yake na kwa hakika nyoka huwa mwathirika mkubwa sana wa mashambulizi makalia ya ndege secretarybird.
Hili ni dege lisilofaa kabisa kutaniwa mazee maani ni fayaaa!
Wapi Monetary doctor dosho12 Harmful Mbaga Jr
Hili dege wala halina mabiti bali likiamua basi limeamua, halina jadi ya kurudi nyuma wala kuwaza mara mbili mbili.Ubgemalizia kusema ni dege lenye mabiti yakwenda 😂😂😂
Mtata ni baada CIA kuniita niwafanyie kazi na kukataaMtata baada ya kumpasua mtu 😂🦅
Jina langu linajielezeaSecretarybird ni ndege mbadi mno ambaye hana huruma na kiumbe dhaifu ajitokezaye mbele yake na kwa hakika nyoka huwa mwathirika mkubwa sana wa mashambulizi makalia ya ndege secretarybird.
Hili ni dege lisilofaa kabisa kutaniwa mazee maana ni fayaaa!
Wapi Monetary doctor dosho12 Harmful Mbaga Jr
Kweli mkuuJina langu linajielezea
Kweli nomaMtata ni baada CIA kuniita niwafanyie kazi na kukataa
Kweli kabisaNadhani umemjua huyu killer wa watoto, wamama na wazee
Njoo mkuuNitarudi
Kweli umetisha sanaSecretarybird ni ndege mbadi mno ambaye hana huruma na kiumbe dhaifu ajitokezaye mbele yake na kwa hakika nyoka huwa mwathirika mkubwa sana wa mashambulizi makalia ya ndege secretarybird.
Hili ni dege lisilofaa kabisa kutaniwa mazee maana ni fayaaa!
Wapi Monetary doctor dosho12 Harmful Mbaga Jr