LAPSE RATE
Senior Member
- Oct 18, 2015
- 119
- 147
Kwenye angahewa letu kuanzia km 0-25, Kila unavyopaa kwenda juu angani ndivyo joto hupungua kwa kiwango cha 0.6°c kwa Kila mita 100. Hii ni kuwakumbusha wanajiografia kwamba dunia ina mambo ya kushangaza.Wimbo wa taifa
Kijana Masikini mbona simuoni......😂Haya bwana 😆😆
Sijui kapotelea wapi, au yupo kwa marry d nini 😁😁Kijana Masikini mbona simuoni......😂
ALiniambia tunakimbiza kwa material ya Bei ghali pale SI ushampata 😂Sijui kapotelea wapi, au yupo kwa marry d nini 😁😁
Bado sijampataALiniambia tunakimbiza kwa material ya Bei ghali pale SI ushampata 😂
Kwenye post yangu dili na neno la kingereza na ongezea kinyume Cha wife 😂Bado sijampata
Sijakuelwa bado 😁😁Kwenye post yangu dili na neno la kingereza na ongezea kinyume Cha wife 😂
Usipofungua hii code sikwambii tena
Mkuu nipo humu ila nina kama siku tatu hivi najichimbia kwenye nyuzi za kilimo na mifugo, nachota madini huko wenda baada ya muda nikarudi tena kwenye zama zangu.Kijana Masikini mbona simuoni......😂
Jambo zuri kiongozi endelea kupambania bila kuchokaMkuu nipo humu ila nina kama siku tatu hivi najichimbia kwenye nyuzi za kilimo na mifugo, nachota madini huko wenda baada ya muda nikarudi tena kwenye zama zangu.
Wewe hata nikueleweshaje huwezi kuelewa msubir kaka akitoka kwenye kilimo akutambulishe 😂😂😂Sijakuelwa bado 😁😁
oya mnifungulie badi hii code mi imenishinda 😁😁 Kijana Masikini msaada kakaKwenye post yangu dili na neno la kingereza na ongezea kinyume Cha wife 😂
Usipofungua hii code sikwambii tena
Ila huyo achelewi usikute washaachana 😂oya mnifungulie badi hii code mi imenishinda 😁😁 Kijana Masikini msaada kaka
Safi mkuu, tangu nimeachana na Marry akili zimerudi sasa, ndiyo sababu hata sina mbwembwe, nataka kulima ili nikitoboa nimng'oe mtoto mkali kama nilivyokupanga.Jambo zuri kiongozi endelea kupambania bila kuchoka
😂😂 code zinaanza kufunguka.Ila huyo achelewi usikute washaachana 😂
Aaaa kiongozi kuna code hapo! Huyo sini mtoto mzuri ambae tunakuwa nae mwanzo mwisho kwenye simulizi zangu.oya mnifungulie badi hii code mi imenishinda 😁😁 Kijana Masikini msaada kaka
😂😂😂Daah wabongo bila kumsingiziawengine hatuwezi kabisa sasa d wawatu kakosea nini au kana mikosiSafi mkuu, tangu nimeachana na Marry akili zimerudi sasa, ndiyo sababu hata sina mbwembwe, nataka kulima ili nikitoboa nimng'oe mtoto mkali kama nilivyokupanga.