RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kutokana na ustahimilivu was ninayopitia kuwa ni magumu Nilijikuta nimetamka "Kato" halafu baadae "Resilient" ilibidi nistahimili aiseh!huku baridi ikinipuliza kwenye vilima vya kyerwa kule Rwenkorongo jioni Ile na Mataaa ya halmashauri yakiwaka Kwa mbali na baridi kali,nilifikia mwafaka was "Resilient Kato" na nimejikuta nafanya maamuzi magumu sana Hadi Kuna jamaa wananiangalia wanahisi nimechanganyikiwa ,ni kama naanza mwanzo kabisa takriban miaka kumi iliyopita!!!!
Siwezi ishi kwa kunyenyekea mwanamke kisa eti ananiona kipato kimefika mwisho na Sina nyimbo tena!Bora nianze na huyu Binti wa miaka 20 !Hadi aje anisaliti kama huyu na umri umeshaenda na nitaend akulala Kwa amani kwa mababu walionitangulia!!
"Resilient kato"