dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Acha sisi mafundi kina neymar tukae na mpira mpaka mpira utozoe uwe unatufata wenyewe 😅😅 au sio Kijana MasikiniSiwezi ball possession Mimi😂
Acha sisi mafundi kina neymar tukae na mpira mpaka mpira utozoe uwe unatufata wenyewe 😅😅 au sio Kijana MasikiniSiwezi ball possession Mimi😂
Sawa kaka Kuna Shem wenu nitawatambulisha 😁Acha sisi mafundi kina neymar tukae na mpira mpaka mpira utozoe uwe unatufata wenyewe 😅😅 au sio Kijana Masikini
Tunamsubiri 😁😁Sawa kaka Kuna Shem wenu nitawatambulisha 😁
Sana mkuu na inaleta matokeo.Acha sisi mafundi kina neymar tukae na mpira mpaka mpira utozoe uwe unatufata wenyewe 😅😅 au sio Kijana Masikini
Si kasema mlienda kuombewa wote.😂😂😂😂 Eeeh mbona hakuja wajameni
Nafanya mazoezi ya urefu nikupite hata inch 3 maana now tupo sawa my love.....nataka ufeel ukinikumbatia kifuani 🥰😂😂😂😂 Eeeh mbona hakuja wajameni
🤣🤣🤣 ni vizuri tutapata namna ya kukufagilia njia kuliko kuwa waruwaru.Subir niigize kama Neymar niache umbappe kwa siku ya Leo dosho12
Kwa Leo tu 😂🤣🤣🤣 ni vizuri tutapata namna ya kukufagilia njia kuliko kuwa waruwaru.
😂😂😂 utafeli mkuu tulia tuopoe mmama huo.Kwa Leo tu 😂
Sawa GeminMo- Mohamed
Mp- M....................
5- mwezi niliozaliwa
MKUU MAANA AKE NINI?!!!
IYENYI NI NINI MKUU?!!Sawa Gemin
upo unavutwa na mashine sio,,shingo ioNafanya mazoezi ya urefu nikupite hata inch 3 maana now tupo sawa my love.....nataka ufeel ukinikumbatia kifuani 🥰
ni mazoezi tu me ni mrefu mbona nataka niongezee kidogo tu ili uwe comfortable kwenye kifuaupo unavutwa na mashine sio,,shingo io
kifua chenyewe kina sikisi paki au ndo uuuuwwiiiiiiiihni mazoezi tu me ni mrefu mbona nataka niongezee kidogo tu ili uwe comfortable kwenye kifua
We unatakaje nibaki na six zangu au nikutengenezee kitambi Cha mchongokifua chenyewe kina sikisi paki au ndo uuuuwwiiiiiiiih