ukute hata kitambi wala izo six huna,,basi nkikuona nabaki yooyoooooWe unatakaje nibaki na six zangu au nikutengenezee kitambi Cha mchongo
hamna unaenda vizuri , huyu ni wako tu kaka😅😅😂😂😂 Ushaanza kuona naenda kichwa kichwa eeh
muongo uyo,,yupo kunitamani😂😂😂 Ushaanza kuona naenda kichwa kichwa eeh
Yaani nipo Mfano wa zakayo mtoza ushuru we ukiniona mara ya kwanza hutoamini unaweza ukaja kunibeba juu juuukute hata kitambi wala izo six huna,,basi nkikuona nabaki yooyooooo
😂😂Basi hunifaiiii poteaaaaYaani nipo Mfano wa zakayo mtoza ushuru we ukiniona mara ya kwanza hutoamini unaweza ukaja kunibeba juu juu
We tatizo mzuri sana watu wanaona uzuri wako mpaka kwenye maandishimuongo uyo,,yupo kunitamani
Nilikuambia me ni mbappe usiwaze 😂hamna unaenda vizuri , huyu ni wako tu kaka😅😅
Nani kakudanganya weyeWe tatizo mzuri sana watu wanaona uzuri wako mpaka kwenye maandishi
Ila wewe bhna yaani me urefu wako nimejitahidi mpaka nimeupenda ila we unanikataa mbele ya hadhira 😂😂😂Basi hunifaiiii poteaaaa
Moyo wangu 🥰Nani kakudanganya weye
mi ni ngongoti mkuu si ulsema wewe😂Ila wewe bhna yaani me urefu wako nimejitahidi mpaka nimeupenda ila we unanikataa mbele ya hadhira 😂
Si ndiyo nikakupenda hivyo hivyo ili tupige hela msimu wa sabasaba kipenz changumi ni ngongoti mkuu si ulsema wewe😂
mchikichini paleKama unamjua mudy physics basi unganisha dots...?
🤣🤣🤣🤣🤣upo unavutwa na mashine sio,,shingo io