Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia.
Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa Nini umejiita hivyo??

Naanza Mimi NALIA NGWENA
Hilo ni jina ambalo nilijiita baada ya kupita jkt, ipo hivi nalia ngwena ni wimbo ambao ulikua ukiimbwa ulikua na mateso makubwa ndani yake tunaita maovyo ovyo,
Ilifikia hatua huu wimbo tuliimba huku tunalia.

Maana afande aliyekuwa akiimbisha huu wimbo alitoa na mazoezi makali humo humo ndani yake.

Kiukweli katika vitu ambavyo sitoweza kusahau ni huu wimbo na ndiyo maana nikajiita NALIA NGWENA

Karibuni wakuu.
KAZI NAYOFANYA KWA SASA HAPA KIBAO CHA SHULE,KUWAITA WATU WA GOBA NA MBEZI NDIO NIKAJA HUKU KUWAKILISHA.
BEI YA BAJAJI KWENDA GOBA NI ELFU 1000/=
KIMARA NA MAJIRANI ZAKE NJIANI NI ELFU 2000/KARIBUNI SANA WATEJA.
 
Back
Top Bottom