Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Asante πSafi sana mkuu
Kwahiyo tunakaza au tunaanza kumove onBado kaka ππ
πππ Dah lakini kweli. Sema nini, niliwehuka sana na penzi lake kiasi cha kuwa dhudhu.πππDaah wabongo bila kumsingiziawengine hatuwezi kabisa sasa d wawatu kakosea nini au kana mikosi
sikati tamaa kaka π πKwahiyo tunakaza au tunaanza kumove on
Labda haikuwa wakati sahihi kaka ila tushamove on tufocus na mengineπππ Dah lakini kweli. Sema nini, niliwehuka sana na penzi lake kiasi cha kuwa dhudhu.
Hii vita Bado mbichi wakikushambulia wengi unitag kamanda wako πsikati tamaa kaka π π
Yaah maisha yanaendeleaLabda haikuwa wakati sahihi kaka ila tushamove on tufocus na mengine
Code zimeshafunguka, dah kichwa yangu ni mbovu kabisa kwa nini sikujua hiyo Harmful π πwaifu material Kwa mara ya mwisho nakuuliza unanipenda? Nikibaka mbuzi sitaki lawama za mtu mimi.
Mimi sipendagi mkuuπwaifu material Kwa mara ya mwisho nakuuliza unanipenda? Nikibaka mbuzi sitaki lawama za mtu mimi.
Kivipi?Mimi sipendagi mkuuπ
Lakini Lina Maana hiliNilikosa jina la upekee harmful likanijia kichwani nikaweka πππ
Lamborgin πͺπͺI love supercars badly.
Why dosho 12Na kwa nini ajiite hivyo.
Maana yake ni hatari au yenye kuleta madharaLakini Lina Maana hili
Sawa mkuu jitahidi utimize ndotoKwa sababu nataka kuwa Rais, tena wa mfano
Wewe ni hatariMaana yake ni hatari au yenye kuleta madhara
Hatari Yako IPO wapiMaana yake ni hatari au yenye kuleta madhara
Maana yake ni hatari au yenye kuleta madhara
Kwa Nini umejiita kijana masikiniKivipi?
Huwezi kuiyona kwa maandishi mkuuWewe ni hatari
Hatari Yako IPO wapi