Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

nimeacha Kununua Mapenzi Kitambo tu na Pia Sina uhakika kuwa penzi lako kulipata mpaka niligharamie. Shem wangu J lo Aliwahi kuniambia Penzi hali ghalamiwi

Oooooh kumbeeeeeee!! Haya kilalakheri, hapa money kwanza mengine majaaliwa.
 
Yaani mke mwenzangu bora umeona hapo tu unisaidie kusambaza hii habari njema ili unisaidie kupunguza mamluki.

Heeeeee asione vyaelea vimeundwa ati!!!! Weeee ibra87 mkono mtupu haulambwi wala maneno matupu hayavunji mfupi kumbuka ukitaka Kula shurti uliwe kidogo........watoto wazuri utaishia kuwaita shemejiiiiiiiii.....
 
Last edited by a moderator:

Yaani mke mwenza thats why i love you, yo very smart, mke mwenza anayejitambua, kweli Eli79 una bahati sana kuwa na mke kama huyu, usimfuje tu.

Mwambie bwana huyu, vigezo na masharti lazima vizingatiwe, ye anadhani nimemvutia hivi hivi tuuuuu!! Nimegharamiwa ati!
 
Sibiri nirudi mbeya nikutambulishe rasmi mwanamke wa roho na moyo wangu tena ni rafikio wa karibu kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Richard Mugizi, Nyani Ngabu, given, pilipili manga au Paulo? Maana wanaokuhitaji ni wengi

Weeeeeh usiniambie wanaonihitaji ni wengi!!! Akina nani hao? Wajitokeze basi washindane kwa dau.
 
Unadhani kwanini nimejikalia zangu pembeni? Nimejijua siwezi kushindana na wabeba box maana foleni Yako ni Sawa na kutoka g.mboto mpaka bunju
 
Usinisingizie bwana, wewe ndio wa kwanza kujitokeza hapa jf kuwa unanihitaji, hao unaowahisi maybe hata wazo nami hawana, so acha uoga.
 
Hivi kwanini siku ya leo kila ninapokaa Wimbo wa Sir Elton John uitwao candle in the wind huwa unanijia sana kichwani? Unaweza kudadavua kidogo atoto
 
Khaaah nishakuwa mtabiri tena!!
 
Khaaah nishakuwa mtabiri tena!!

Unaweza Kuwa Mtabiri Maana Huu Wimbo Uko dizaini ya maombolezo Hivi.. Hata kwenye mazishi ya Michael jackson aliuimba huu wimbo sasa leo nashangaa
 
Back
Top Bottom