Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Hisia Zangu kwako ni Zaidi Ya Penzi La Diamond Kwa Zarina na Tiffa... Nina mahaba mazito Juu Yako Kama wewe Unavyoipenda Ccm. Na Sitaacha kusema Popote pale Kuwa Jina Lako Nimeliandika Moyoni Mwangu na wakulifuta Hakuna Zaidi Ya Kifo..
Duu nenda mwana kwenda tupo nyuma yako
 
Duh, aisee. Kumbe nilizuia penzi kati ya espy alias atoto na jamaa kuchipuka?

Pole sana kwa wafiwa na familia ya ibra87
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…