Mkuu Jina Limeandikwa Kiurafiki Sasa Mtongozo Unatoka Wapi?
Sasa nitamuitaje jamani? Mengine hataaaa hayanogi, nishazoea mie
Nilijua tu Diamond atakuwa na a/c JF.
Hahahaaaaa!! Paulo bwana, hiyo mistari ni mizito mno diamond haiwezi, hizo level za King Kiba bwana.
basi sawa ndg. ibrahim masimba.tuendelee na mada.Mkuu Naitwa Ibrahim Masimba au Ibra87
naomba upunguze usumbufu pm Kwa Atoto.... Nishamuandika MoyoniHahaha chochote unachosema.
Tuwe serious lakini, umempa jamaa shs. ngapi kwa kazi yote hii? We mbunifu kinoma. Halafu na mimi nitumie nafasi hii kutangaza, mwanamama yeyote aliye tayari kuandikiwa kama wewe hivi, atangaze dau tu na yeye. Hizi ni fursa.
Hisia Zangu kwako ni Zaidi Ya Penzi La Diamond Kwa Zarina na Tiffa... Nina mahaba mazito Juu Yako Kama wewe Unavyoipenda Ccm. Na Sitaacha kusema Popote pale Kuwa Jina Lako Nimeliandika Moyoni Mwangu na wakulifuta Hakuna Zaidi Ya Kifo..
Ukiendelea unakula ban au unalipa faini choose one....
Hahaha chochote unachosema.
Tuwe serious lakini, umempa jamaa shs. ngapi kwa kazi yote hii? We mbunifu kinoma. Halafu na mimi nitumie nafasi hii kutangaza, mwanamama yeyote aliye tayari kuandikiwa kama wewe hivi, atangaze dau tu na yeye. Hizi ni fursa.
Sasahivi niko Old Trafford zaid nitakuja leta. ...
naomba upunguze usumbufu pm Kwa Atoto.... Nishamuandika Moyoni
Mmmh wanga msiopenda maendeleo yangu mmeanza kujitokeza mmoja mmoja!!! Lengo lenu halitimii ng'ooooo!! Hii bahati mchezo!!, tangu naingia jf sijawahi kutongozwa hata kwa bahati mbaya, leo hivi hiviii neema imeniangukia, badala ya mdogo wangu tufurahi pamoja wewe unaleta balaa tena.
umekatika wenyewe au umekatwa?