Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Usikute huyo atoto ana sura kama mtu anayepiga chafya kiufupi kafanana na MO11
 
Last edited by a moderator:
atoto weeeeeeeeeee!!! Uko wapi njoo huku, shem darling Manga ML upooooooooo? Embu njoo huku, my hubby Eli79 mimi na wewe hatudhuriani embu njoo huku uone chimbo lako la zaman najua viparticles vya upendo vipo bado, kyutiiiiii biiiiiiiiiiiii njoo mama uone huku nduguyo ametangaziwa nia,njoo cute b mama.....

Duuuh kweli huu mwaka ni wa kutangaza niaaaa...
Sio kwa mistari hiyo... atoto lazma aingie kingiii
 
Last edited by a moderator:
cute b ....miMi nliandika jina lako mapemaaa kwenye moyo, na kila kilicho changu......
mshana jr njoo ubarik hii couple....uiwekee zindiko ibra87
ibra87 atoto anataka pesa tuu...ujue hilo mapema......

Cc atoto

Baby mimi nimechora tatoo kwa kutumia makaa ya moto moyoni mwangu..
Sioni mwanaume yoyote zaidi yako.
Mahaba yako yananimaliza nyanganyang'a...
Nikisikia tuu sauti yako pichu yangu tepetepee..
Baby nakupenda kuliko chochote na yoyote duniani...
Kuwa wangu milele
 
Last edited by a moderator:
Hujambo ex shemeji?


:thumbup::thumbup::thumbup:

shemeji yako kwa nani
si kwangu? Eti unauliza kama vile hujui



Ex shemeji!! Kwa cute b
mwambiee maana naona hapendi jina la ex



hatukuwahi kuwa couple ni ugwadu tu ndo ulotukutanisha mimi na cute b

na tukawa wapenzi


Oooh kwahiyo mliduu tu ila there wr no strings attached?

dhubutuuuuuu


Kwa hiyo onenightstand ilihusika???:what::what::what:😡😡😡:thumbdown:
hapana loveee



ndo maana yake, si unajua rafiki wa kweli pesa tu mtu wangu
ndio maana nilikuchezesha gemu usiku kucha basi



usijali mkuu machine wala sijaondoka nayo nimemwachia mwenyewe

hahahaaaa na hela ukanichuna.
Wanaume wa siku hizi ni mario jamaniiii...
 
Last edited by a moderator:
Dooo so am not special in anyway!! Mwe mwe mwe mweeeeh!

Wacha hizi bana. Ligi yako kubwa, senior residents tu ndio wanakuweza. Naweza kwenda nao toe to toe, ila heshima tu. Halafu umeanza mwenyewe habari za ajabu kuniita mdogo wako, huko pm unataka nije nikuambie nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom