Jina lako linaanza na herufi gani?

wakalishe chini wataelewa tu.... dini zote sizina muabudu mungu huyohuyo so me sioni tatizo
Hivi unawajua waislam?mama yangu hana shida ila nitawaweza tu nafunga ya serikali wasiporidhika sasa najichukulia mme wangu tunaenda kufunga ndoa ya wawili tu na hivi mi na G akili zetu zinaelewana ili mradi tunachofanya kinatupa furaha

Halaf mi na wachuchu waislam mbali mbali jamani [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha namwita dada sababu ni mdogo wangu wa kike, sio kwamba yeye ndio mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]

anyway...nimefurahi kupata dada mwingine [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anhaa sawa

Nimefurahi pia [emoji4][emoji4]
 
sure lakn waislamu huwa wagumu sana kusilimu......

alafu hyo huwa inatokea automaticaly tu unajikuta huna upepo nao kabisa 😂
 
Mimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya dini

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] binamu acha tuu!!yaani dini ni mtihani mnoo!!mnapendanaa ila dini kikwazo msioane!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa G itakuaje?shosti
 
sure lakn waislamu huwa wagumu sana kusilimu......

alafu hyo huwa inatokea automaticaly tu unajikuta huna upepo nao kabisa [emoji23]
Ndio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitabiri...

Linaanzia na S na kuishia na A
Sofia?
Shadya?
Shamsa?
Selina?
Salma?
Salama?
Sakina?

Kama nimepatia uje PM tupange mipango
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndoa ya serikali nishaambiwaga ni uzinzi mtupu hakuna kitu hapoo!nilifanyaga maamuzi magumuu!mnoo!!

Nyie mwawezana wenyewe!!+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…