Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yaan acha na hapo mengine sijatajayote hayo yako [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan acha na hapo mengine sijatajayote hayo yako [emoji23][emoji23]
Hivi unawajua waislam?mama yangu hana shida ila nitawaweza tu nafunga ya serikali wasiporidhika sasa najichukulia mme wangu tunaenda kufunga ndoa ya wawili tu na hivi mi na G akili zetu zinaelewana ili mradi tunachofanya kinatupa furahawakalishe chini wataelewa tu.... dini zote sizina muabudu mungu huyohuyo so me sioni tatizo
hahahah.... we kiboko asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anhaa sawahahaha namwita dada sababu ni mdogo wangu wa kike, sio kwamba yeye ndio mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
anyway...nimefurahi kupata dada mwingine [emoji4]
sure lakn waislamu huwa wagumu sana kusilimu......Hivi unawajua waislam?mama yangu hana shida ila nitawaweza tu nafunga ya serikali wasiporidhika sasa najichukulia mme wangu tunaenda kufunga ndoa ya wawili tu na hivi mi na G akili zetu zinaelewana ili mradi tunachofanya kinatupa furaha
Halaf mi na wachuchu waislam mbali mbali jamani [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mpenzi wangu akiwa anataka kunimbembeleza ataniita yote ataanza Mama sabrina,Mama S,J,Dina wangu,,,yaan ananiitaga mpaka nasinzia kwa rahaahahahah.... we kiboko asee
Hakuna juhudi iliyoshindikana kwenye kusaka mpunga[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunakosaje sasa!!mpungaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo umuchane muhindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] binamu acha tuu!!yaani dini ni mtihani mnoo!!mnapendanaa ila dini kikwazo msioane!!Mimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee!!acha tuu usiseme nduguwakalishe chini wataelewa tu.... dini zote sizina muabudu mungu huyohuyo so me sioni tatizo
Ndio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisasure lakn waislamu huwa wagumu sana kusilimu......
alafu hyo huwa inatokea automaticaly tu unajikuta huna upepo nao kabisa [emoji23]
Ngoja nitabiri...Mada zako bwana [emoji3][emoji3][emoji16]yaani sijui wawazaga nini!!!
Mwisho humu utawajua watu kwa uhalisia wao!
Haya langu linaanzia J la nyumbani kwenye cheti cha shule S....!!!hapo vipi!halafu Leo second time nakua first replier kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitandanze mkeka tena
We utakuwa Mkerewe au Mjita ndo wanamajina hayoLa katikati tu ndio umepatia mengine chenga
haya kama nimeelewa babe
SawaAya babe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndoa ya serikali nishaambiwaga ni uzinzi mtupu hakuna kitu hapoo!nilifanyaga maamuzi magumuu!mnoo!!Hivi unawajua waislam?mama yangu hana shida ila nitawaweza tu nafunga ya serikali wasiporidhika sasa najichukulia mme wangu tunaenda kufunga ndoa ya wawili tu na hivi mi na G akili zetu zinaelewana ili mradi tunachofanya kinatupa furaha
Halaf mi na wachuchu waislam mbali mbali jamani [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu tena baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Raymond
Renald
Rick
kuna dada fulan alikuwaga rafiki angu alitengwa na ndugu zake... nilimuonea huruma sana