Mimi pia sijawahi pendwa na muislamu kwa dhati kabisaa!ukiski true love basi Christian yaani acha tu!sure lakn waislamu huwa wagumu sana kusilimu......
alafu hyo huwa inatokea automaticaly tu unajikuta huna upepo nao kabisa [emoji23]
Hapo maeneo ya mizani ya Wenda Iringa namiss hiyo barabara haswa kuendesha gari mida ya alfajiri au usikuJakilooooo, Jakiloooo.
I miss you soo much mai fulendi..
Juzi nikapiga picha hili gari linafanana na jina lako bwanaaa. View attachment 853159
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!mmecheka balaaaSasa mpenzi wangu akiwa anataka kunimbembeleza ataniita yote ataanza Mama sabrina,Mama S,J,Dina wangu,,,yaan ananiitaga mpaka nasinzia kwa rahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina
[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] win win situation tuu!!!Hakuna juhudi iliyoshindikana kwenye kusaka mpunga[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
hahahah... daddy's girl ππ ungepata baba ambaye siyo muelewa angekata kichwa hicho ππNdio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kaa kimya hapa Asprin[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaharibu madaa!!!Ngoja nitabiri...
Linaanzia na S na kuishia na A
Sofia?
Shadya?
Shamsa?
Selina?
Salma?
Salama?
Sakina?
Kama nimepatia uje PM tupange mipango
Naam, naam ndugu yangu.Hapo maeneo ya mizani ya Wenda Iringa namiss hiyo barabara haswa kuendesha gari mida ya alfajiri au usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!! Yaani wewe lohNdio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahhaaSawa
Mfuate mwanaume dini yake utaona mambo yananyookaMimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!kuna dada fulan alikuwaga rafiki angu alitengwa na ndugu zake... nilimuonea huruma sana
natilia mkazo hapa sijawahi date gal wa dini tofauti yani huwa hata ujasir wa kuwatokea nakosa automaticaly..Mimi pia sijawahi pendwa na muislamu kwa dhati kabisaa!ukiski true love basi Christian yaani acha tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halaf mim nikipenda binam madini siyafati nafata anakopenda Mpenzi wangu,G wangu hata akiwa mpagani nami hivyo hivyo yaan sijui mi chizi[emoji2] [emoji2] binamu acha tuu!!yaani dini ni mtihani mnoo!!mnapendanaa ila dini kikwazo msioane!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa G itakuaje?shosti
Last month my dad told me I want u to get ur life partner but Muslim not Christian again[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]hahahah... daddy's girl [emoji23][emoji23] ungepata baba ambaye siyo muelewa angekata kichwa hicho [emoji23][emoji23]
Basi sawa dear S.Hebu kaa kimya hapa Asprin[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaharibu madaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea pakubwa
Anania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amina
Asha
Aviana
Anna
Anastazia
Agness
Alicia
Huchomoki hapo[emoji23] [emoji23]