Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Ndio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah... daddy's girl 😂😂 ungepata baba ambaye siyo muelewa angekata kichwa hicho 😂😂
 
Ndio hali yangu hii niliwah pata mchumba akakubali kubadili dini awe muislam,sijui ikatokea upepo gani tu nikakataa kabisa nikaona huyu kuna vitu bado hajakizi ,nilimuumiza kaka watu mpaka mama yake alisema nimemroga mwanae,hivi unajua kila kitu kinapangwa halaf wanashangaa nikakataa(akili zangu ),baba angu akaniambia mtoto wangu fanya unachopenda usijilazimishe utaniletea utakaeona anakufaa,wale wakutafutiwa ndio siwatakagi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!! Yaani wewe loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna dada fulan alikuwaga rafiki angu alitengwa na ndugu zake... nilimuonea huruma sana
Mi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia sijawahi pendwa na muislamu kwa dhati kabisaa!ukiski true love basi Christian yaani acha tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
natilia mkazo hapa sijawahi date gal wa dini tofauti yani huwa hata ujasir wa kuwatokea nakosa automaticaly..

sasa kuna siku nikasema ngoja nijaribu alafu yani nikipima naona kabisa naona huyu hawezi chomoa ila cha ajabu nilikula kibuti hichooo acha tu since hyo siku sijawahi tena tongoza msichana tofauti na din yangu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom