Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
ila cha muhimu love tu.... kama unaupendo fresh tu ila sio ili umfurahishe mzee 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila cha muhimu love tu.... kama unaupendo fresh tu ila sio ili umfurahishe mzee 😆
Hapa amefika mahala pake!ntaitumia mpk senti ya mwisho!ikiisha atarudi kwa mkewe akamlize stress zake![emoji13]
Wake wawili thunna!![emoji13] [emoji13] [emoji13]Taratibu Bibi asisikie[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha usanii binamuuEeeh alitaka kunipiga nayo nikaidaka ,moyoni nikasema unadhani naenda cinema kuangalia movie bure nalipiga pesa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23],,wangechelewa watu nahisi angezimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Boniface[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ebu jaribu tena ukishindwa nitag nikusaidie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Story yako naifananisha naya jamaa yangu, alikuwa na mahusiano na binti wa kiislam tena Answari wakaenda kuchumbia baba wa binti akamwambia abadili dini awe mwislam ndo ataweza kumuoa binti, baba wa rafiki yangu akagoma mipango ya ndoa ikafa. Kumbe wao wanaendelea na mahusiano binti akapata mimba lakini baba mtu aligoma kumuoza binti yake.Aligoma kwa utofauti wa dini!!basi ikawa tafrani tupu miye nkasema naolewa bwana na kimimba hichoo!!!mzee wangu ni muislamu safi yaani mlokole wa kiislamu acha tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah!wapi viben10 sivitaki miyee!ntatafuta mzee mwenzangu mmekwambia ntaolewa bimdogoo!uzuri waislam hatuna shida ujue35? Hapo tafuta mpunga tu utaowa vijana wapo maisha yanawasumbua mtaani wanatafuta akina mama wawahifadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
ما هذا؟نØÙ†Ø±Ø´
hivi kuna mwanamke asiyejua kupga kibao 😂😂😂 maana ndio silaha yenu kubwa ikifuatiwa na machozMi ngumi kupiga siwezi,ila najua kupiga vibao ,nikikiachia hehehe,ngumi kupiga najua za hivyo hivyo ndio nataka nijifunze [emoji23][emoji23][emoji23] halaf sikumkosa kibao hata kimoja ,na vitu kama vikiwepo ndio nakupiga navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Binam nalipigia 15 zangu kuangalia movie sitokagi bureee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha usanii binamuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuacheehivi kuna mwanamke asiyejua kupga kibao [emoji23][emoji23][emoji23] maana ndio silaha yenu kubwa ikifuatiwa na machoz
Babu natania tuHujawahi bembelezwa na Babu wewe.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaaaa....
Waislam kwa kupenda kuoa binti wadogo wanaomaliza F4 aje kwako ngozi ishaanza kutepeta achana na maustadhi hawazururi lakini wanawajua mabinti wote mtaani na status zao za mahusianoAah!wapi viben10 sivitaki miyee!ntatafuta mzee mwenzangu mmekwambia ntaolewa bimdogoo!uzuri waislam hatuna shida ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwa sasa naangalia nnaempenda miye!bimkubwa atanisamehe tuu![emoji23] [emoji23] tutashea tu hakuna namnaaila cha muhimu love tu.... kama unaupendo fresh tu ila sio ili umfurahishe mzee [emoji38]
😂😂😂😂😂 alafu sasa tuvibao twenyewe sasa somtimes unakuta anakupiga kama anakupepea kumbe anataka umzuie kwa kumkumbatia tu 😂😂😂😂 wanawake bwana
Acha tu kaka angu haya mambo yapo![emoji23] [emoji23] [emoji23] Story yako naifananisha naya jamaa yangu, alikuwa na mahusiano na binti wa kiislam tena Answari wakaenda kuchumbia baba wa binti akamwambia abadili dini awe mwislam ndo ataweza kumuoa binti, baba wa rafiki yangu akagoma mipango ya ndoa ikafa. Kumbe wao wanaendelea na mahusiano binti akapata mimba lakini baba mtu aligoma kumuoza binti yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli [emoji23][emoji23]Waislam kwa kupenda kuoa binti wadogo wanaomaliza F4 aje kwako ngozi ishaanza kutepeta achana na maustadhi hawazururi lakini wanawajua mabinti wote mtaani na status zao za mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
dadeq 😂😂😂😂😂Waislam kwa kupenda kuoa binti wadogo wanaomaliza F4 aje kwako ngozi ishaanza kutepeta achana na maustadhi hawazururi lakini wanawajua mabinti wote mtaani na status zao za mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mi hata we nikikupiga kibao changu lazima ukisikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu sasa tuvibao twenyewe sasa somtimes unakuta anakupiga kama anakupepea kumbe anataka umzuie kwa kumkumbatia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawake bwana
kweli umejizatiti 😂😂😂😂 hadi unatuma salamu kwa bimkubwa 😂😂😂Hapana kwa sasa naangalia nnaempenda miye!bimkubwa atanisamehe tuu![emoji23] [emoji23] tutashea tu hakuna namnaa
Sent using Jamii Forums mobile app