Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Hahaahaaaa@Asprin hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]acha tu!

Mzee mwenziwe labda awe kama mzee mengii!!kwa sasa plan yangu mpk 35 ndo nianze kusaka mwenza !!!!acha niwe single mama kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
35? Hapo tafuta mpunga tu utaowa vijana wapo maisha yanawasumbua mtaani wanatafuta akina mama wawahifadhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
navuta picha hayo mapigano yalikuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ngumi kupiga siwezi,ila najua kupiga vibao ,nikikiachia hehehe,ngumi kupiga najua za hivyo hivyo ndio nataka nijifunze [emoji23][emoji23][emoji23] halaf sikumkosa kibao hata kimoja ,na vitu kama vikiwepo ndio nakupiga navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom