Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Nikaondoka nikaenda sehemu kukaa machozi yanatiririka hapo nishamuandikia sms G kama 10,alivyoamka tu akapiga mama mama Upo wapi mama,nakutumia pesa sasa hivi ondoka hapo naomba unyamaze,nami hapo kilio kikazidi mara mbili yake [emoji23][emoji23][emoji23],na hasira zikaisha nikaanza na kucheka

,mim nikianza kulia nalia kweli[emoji23][emoji23][emoji23] na nilikuwa namdunda huyu ndugu yangu huku nalia [emoji23][emoji23] hana hamu na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu akitokea hata hajui nani alikuwa anadudwa maana wote mnalia 😂😂😂😂
 
Last month my dad told me I want u to get ur life partner but Muslim not Christian again[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ur dad is not civilize, he need counseling, anazani sikuhizi vijana wanaowa tu, mwambie akutafutie yeye kama hatokuletea mzee mwenzie ambaye anawake wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikaondoka nikaenda sehemu kukaa machozi yanatiririka hapo nishamuandikia sms G kama 10,alivyoamka tu akapiga mama mama Upo wapi mama,nakutumia pesa sasa hivi ondoka hapo naomba unyamaze,nami hapo kilio kikazidi mara mbili yake [emoji23][emoji23][emoji23],na hasira zikaisha nikaanza na kucheka

,mim nikianza kulia nalia kweli[emoji23][emoji23][emoji23] na nilikuwa namdunda huyu ndugu yangu huku nalia [emoji23][emoji23] hana hamu na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa!jamani wanawake wa kanda ya ziwa jamani wababe sanaa!!siwawezi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom