Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao akina James nk walishachumbia wakakataliwa?Mi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wewee!!mwenzenu miee!napendwaaaa![emoji108] [emoji108] [emoji108]
Baba angu ananionaga mimi mdogo yaan anaonaga mi sikui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Sio wotee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah sema washua kwa watoto wa kike huwa huwaambii kitu
Dada samahani sana!wizi wangu wepi?!si namsaidia pensheni jamani[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji57] [emoji57] acheni umbeaa
mtu akitokea hata hajui nani alikuwa anadudwa maana wote mnalia 😂😂😂😂Nikaondoka nikaenda sehemu kukaa machozi yanatiririka hapo nishamuandikia sms G kama 10,alivyoamka tu akapiga mama mama Upo wapi mama,nakutumia pesa sasa hivi ondoka hapo naomba unyamaze,nami hapo kilio kikazidi mara mbili yake [emoji23][emoji23][emoji23],na hasira zikaisha nikaanza na kucheka
,mim nikianza kulia nalia kweli[emoji23][emoji23][emoji23] na nilikuwa namdunda huyu ndugu yangu huku nalia [emoji23][emoji23] hana hamu na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah pensheni imetoka eee tunaomba zile mbinu 5 kubwa uzitumie kiuhakika,nimesema sultana kigogo wa jfDada samahani sana!wizi wangu wepi?!si namsaidia pensheni jamani[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji57] [emoji57] acheni umbeaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hao kina jimmy nshasanda sasa hivi na uzee huu kila anaekuja Mme wa mtu ndipo napofanya maamuzi magumu ya kuwa bimdogoo!!sasa ww siumeshasema wanaokulove kiukweli ni kina jimmie sasa [emoji23][emoji23] au kisa mzee bado kakaza
Ur dad is not civilize, he need counseling, anazani sikuhizi vijana wanaowa tu, mwambie akutafutie yeye kama hatokuletea mzee mwenzie ambaye anawake wengiLast month my dad told me I want u to get ur life partner but Muslim not Christian again[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah... kweli kabisa
Mpk nikuzalishe mtoto wa kiume
Hahaaaahaaa!jamani wanawake wa kanda ya ziwa jamani wababe sanaa!!siwawezi!!!Nikaondoka nikaenda sehemu kukaa machozi yanatiririka hapo nishamuandikia sms G kama 10,alivyoamka tu akapiga mama mama Upo wapi mama,nakutumia pesa sasa hivi ondoka hapo naomba unyamaze,nami hapo kilio kikazidi mara mbili yake [emoji23][emoji23][emoji23],na hasira zikaisha nikaanza na kucheka
,mim nikianza kulia nalia kweli[emoji23][emoji23][emoji23] na nilikuwa namdunda huyu ndugu yangu huku nalia [emoji23][emoji23] hana hamu na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah....eti umeshasanda 😂😂😂[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hao kina jimmy nshasanda sasa hivi na uzee huu kila anaekuja Mme wa mtu ndipo napofanya maamuzi magumu ya kuwa bimdogoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una vituko we kakaUr dad is not civilize, he need counseling, anazani sikuhizi vijana wanaowa tu, mwambie akutafutie yeye kama hatokuletea mzee mwenzie ambaye anawake wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu muache Babu afurahie maini yake yaliyonona japo kazeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]