Jina lako linaanza na herufi gani?

Aligoma kwa utofauti wa dini!!basi ikawa tafrani tupu miye nkasema naolewa bwana na kimimba hichoo!!!mzee wangu ni muislamu safi yaani mlokole wa kiislamu acha tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Story yako naifananisha naya jamaa yangu, alikuwa na mahusiano na binti wa kiislam tena Answari wakaenda kuchumbia baba wa binti akamwambia abadili dini awe mwislam ndo ataweza kumuoa binti, baba wa rafiki yangu akagoma mipango ya ndoa ikafa. Kumbe wao wanaendelea na mahusiano binti akapata mimba lakini baba mtu aligoma kumuoza binti yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi kuna mwanamke asiyejua kupga kibao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana ndio silaha yenu kubwa ikifuatiwa na machoz
 
Aah!wapi viben10 sivitaki miyee!ntatafuta mzee mwenzangu mmekwambia ntaolewa bimdogoo!uzuri waislam hatuna shida ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam kwa kupenda kuoa binti wadogo wanaomaliza F4 aje kwako ngozi ishaanza kutepeta achana na maustadhi hawazururi lakini wanawajua mabinti wote mtaani na status zao za mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu kaka angu haya mambo yapo!

Mwisho ikawaje!!!??sasa wa hao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…