Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hadi Leo kamfanya nyumba nazani kubwa ingawa haina ndoa, ile yake yenye ndoa ipo, tatizo binti alimpenda sana jamaaAcha tu kaka angu haya mambo yapo!
Mwisho ikawaje!!!??sasa wa hao!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe weye wajua kiarabu etii!ujue mmkuelewa hapo?Ω Ψ§ ΩΨ°Ψ§Ψ
Hahaaa!yaani Mimi ugomvi siwezi hata chembee kupigana kunanshinda jamani!;
ππππ kwahyo ndugu yako alipata tabu sana hyo siku
Sio wote wapo wanaotamani watu wazima wenzao waliomaliza kuzaa kaka!Waislam kwa kupenda kuoa binti wadogo wanaomaliza F4 aje kwako ngozi ishaanza kutepeta achana na maustadhi hawazururi lakini wanawajua mabinti wote mtaani na status zao za mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nitukane ukiwa ukiwa karibu hata kichwa nakupiga ile wanaita kalebuHahaaa!yaani Mimi ugomvi siwezi hata chembee kupigana kunanshinda jamani!;
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajibebe tu bimkubwa Mimi wala siogopi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mume kashanipenda na kunihakikishia ushindi!!kweli umejizatiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi unatuma salamu kwa bimkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh!inaumiza sana jamani!huyo baba kaah!huyo dada nae ana mtihani sanaHadi Leo kamfanya nyumba nazani kubwa ingawa haina ndoa, ile yake yenye ndoa ipo, tatizo binti alimpenda sana jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi hata kidogo kupigana miye!Mi nitukane ukiwa ukiwa karibu hata kichwa nakupiga ile wanaita kalebu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kuunga unga na sole tape. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe weye wajua kiarabu etii!ujue mmkuelewa hapo?
Mwifa wajua alivyosema Mrs Van!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana msichana akizaa na mtu anayempenda au akitolewa bikra na jamaa hafu mahusiano hayakuwa na mgogoro lazima ataendelea kuwa na mahusiano nae hata ya siriAiseeh!inaumiza sana jamani!huyo baba kaah!huyo dada nae ana mtihani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Tunafanania La Kwenye ChetiMada zako bwana [emoji3][emoji3][emoji16]yaani sijui wawazaga nini!!!
Mwisho humu utawajua watu kwa uhalisia wao!
Haya langu linaanzia J la nyumbani kwenye cheti cha shule S....!!!hapo vipi!halafu Leo second time nakua first replier kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ngoja nikusaidie B___tiBoniface
Bernard
[emoji23][emoji23][emoji23]
Gube GubeNgoja nitandanze mkeka tena
Godluck
Gervas
Godbless
Gwamaka
Gundu
unapiga magoli unashangilia hakuna namna πππAjibebe tu bimkubwa Mimi wala siogopi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mume kashanipenda na kunihakikishia ushindi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Balati[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ngoja nikusaidie B___ti
Kama Mimi aiseeh!hahaaaahaaa!! Ila sasa hivi nasahau kabisaaCha kuunga unga na sole tape. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]