Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi.
Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na ukali wake, watoto wanakimbilia chumbani au nje.
Tuandikie katika familia yenu mlimbatiza baba jina gani? Na kwanini?
Si kwetu tulikuwa tunamuita Osama