Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ba mutu ya congo. Hawa ndio makamanda wa kicongo hapa anajiandaa kuwafurusha M23 goma,stay tune uone watu wanaikimbia GomaKamanda tumpe jina gani?!
View attachment 3224128
Kuna siku meja general alikuja kikosi kuzunguka zunguka si aka mkuta amala pale anatoa maelekezo aliku odar koplo wa kikosi akauliza wewe ni private na una mwili uho 😂😂 CO huyu aende kozi ikitokea ya MP aende tukajua utani bhna siki ya siku majina yanatoka wanao enda kozi ya ukoplo na yupo 🙌😂 nyaisa akasema nyoni ukitoboa naacha jeshi six week haijaisha kasitisha koz 🙌 anasema yeye ana staafu na uprivate🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni mshenzi, nyoni ni tatizo lingine. Ukikutana na nyoni mtaani uambiwe ni poti utapigana mpk kufaa. Anaitwa general nyoni sasa hivi🤣
Umenitisha sana kumbe umerudi hapo🤣🤣 nyoni anatembea na bag limejaa vyeti vya hospital hakuna pakumpeleka Idara ya Finance ngome analimtu lizito mabegani 🫣🫣 haligusiki ndio kinga yake. Alipewa ukarani nahisi aliharibu tena🤣🤣.Kuna siku meja general alikuja kikosi kuzunguka zunguka si aka mkuta amala pale anatoa maelekezo aliku odar koplo wa kikosi akauliza wewe ni private na una mwili uho 😂😂 CO huyu aende kozi ikitokea ya MP aende tukajua utani bhna siki ya siku majina yanatoka wanao enda kozi ya ukoplo na yupo 🙌😂 nyaisa akasema nyoni ukitoboa naacha jeshi six week haijaisha kasitisha koz 🙌 anasema yeye ana staafu na uprivate
Mytatuua kwa kucheka mambo mengn dah ety boni yaiBoni Yai
Ndio maana jeuri umkute jiko kuu nakula kula mda wote nyoni kiboko af kumbe alikuwa anapewa hela ya elimu kimakosa nae aka kausha pombe zilikuwa zinatembea at wewe ungekuwepo ungekuwa unapea ofa 🙌 ila yule jamaa ataki shidaUmenitisha sana kumbe umerudi hapo🤣🤣 nyoni anatembea na bag limejaa vyeti vya hospital hakuna pakumpeleka Idara ya Finance ngome analimtu lizito mabegani 🫣🫣 haligusiki ndio kinga yake. Alipewa ukarani nahisi aliharibu tena🤣🤣.
General nyoni alikua anawekewa Hela za elimu 🤣🤣🤣 Sawa na yule Swai alikua anawekewa za Pedi kina kanda ndio wakaja kusanua roho mbaya tu.🥹🥹Ndio maana jeuri umkute jiko kuu nakula kula mda wote nyoni kiboko af kumbe alikuwa anapewa hela ya elimu kimakosa nae aka kausha pombe zilikuwa zinatembea at wewe ungekuwepo ungekuwa unapea ofa 🙌 ila yule jamaa ataki shida
Af swai hanaga baya yule mzee duh kwahy waka kata utepe 🙌 general nyoni alikutwa na makosa kosa mengi ndio kuja kufumbuka na ilo ya pesa ya elimuGeneral nyoni alikua anawekewa Hela za elimu 🤣🤣🤣 Sawa na yule Swai alikua anawekewa za Pedi kina kanda ndio wakaja kusanua roho mbaya tu.🥹🥹