Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Wewe kama haupo mtoni basi upo karibu na Hifadhini wewe🤣🤣Yule mzee ana vituko vyake bhna 😂😂 ila ana mbio humpati alifukuzwa na tembo uko polini alikuw anafanya nini hatujui 😂
Hii sikumbuki mbona, ila nyie waliwanyung'unya sana, yule mrema, Hassan, gitore .walikosekana wavuvi Haram tu wa special force 🤣🤣🤣Af unakumbuka lau alivyo fukuzwa na fimbo mpaka kakimbilia kwa CO?