Jina lipi zuri kwa ajili ya Poti?

Jina lipi zuri kwa ajili ya Poti?

Swa
Af swai hanaga baya yule mzee duh kwahy waka kata utepe 🙌 general nyoni alikutwa na makosa kosa mengi ndio kuja kufumbuka na ilo ya pesa ya elimu
🤣🤣Swai mshenzi hana shida Lile jina lake la Glorian ndio lilichanganya,🤣🤣 general nyoni kila asubuhi tu akifika anaagiza supu kwa tupokigwe,kutoa mteru kwanza,🤣🤣 itakua yule mkuu wake ndio mfumo mzima ile sio Bahati mbaya.
 
Ahahaha itakuwa jina la kurirhi lile

Mrisho una mkumbuka 😂
 
Ahahaha itakuwa jina la kurirhi lile

Mrisho una mkumbuka 😂
Ni sgt sasa hivi mwehu yule intake Yao ya 19 wote walikua mavichaa mwangalie juma waziri, Lau papa au kito au yule hassan kapten.🤣🤣🤣
 
Ahahha ila uyo kazidi sana 🙌 ase mrisho lau si alichukuaga mkopo akaenda kumla wema sepetu 😂
 
We mshenzi sikuwe
Ammbaji alienda hang now karudi anjiita mzee wa utawala gwarehe alicheka master akipgwa 3 wakati katoka kumaliza tatu
We mshenzi sikuwezi👐👐🤣🤣🤣Mimi nimehama hapo mbaji na joti bado wapo ujenzi bomba mafuta, gwarehe ndio mpya mpya katoka joro. Wewe umemjuaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sikuwezi Mwachi
 
Yule mzee ana vituko vyake bhna 😂😂 ila ana mbio humpati alifukuzwa na tembo uko polini alikuw anafanya nini hatujui 😂
 
We mshenzi sikuwe

We mshenzi sikuwezi👐👐🤣🤣🤣Mimi nimehama hapo mbaji na joti bado wapo ujenzi bomba mafuta, gwarehe ndio mpya mpya katoka joro. Wewe umemjuaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sikuwezi Mwachi
Af unakumbuka lau alivyo fukuzwa na fimbo mpaka kakimbilia kwa CO?
 
Back
Top Bottom