Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
M
MOHAMED HUSSEIN WA YANGAHabari kwenu wanajamii wote.
Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali?
Mwenye uelewa zaidi na asili ya jina "Machinga" atusaidie.