Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

Hao ni kizazi cha 2000 bilashaka, wanatakiwa kujifunza historia kutoka Kwa wahenga na si mitandaoni tu
Yap.

Tuliowaona wamachinga zama hizo Bado Tupo wasilete uzushi.

Ni kama waha wa leo na biashara zao za kukopesha.

Zamani mtu Wa Dar kumwita Mhaya ilikuwa ni tusi. Watu tulioishi miaka Ile ya 1970-1980 tunajua kwa nini...🙂🙂
 
Neno hilo asili yake ni kabila la Mchinga lipo huko kusini. Vijana wa kimachinga toka huko Lindi? walijipatia umaarufu Jijini Dar es salaam katikati ya miaka ya tisini kwa kufanya biashara ya kuchuuza vitu Kam vile nguo,urembo,viatu,vyombo,n.k kwa kutembea mitaani au kupanga pembezoni mwa barabara ndio maana wachuuzi wanaotembeza vitu na wale wanaopanga maeneo yasiyo rasmi wamepewa jina hilo

Sasa hivi hili neno linatimika Tz mzima kuwakilisha
Chai
 
Huo ndiyo ukweli. Tuliokuwepo tunajua.

Kwenye hili la wamachinga wengine ndiyo kwa lugha ya kiuandishi kwa kiingereza tunaitwa "authoritative and reliable source".
Inawezekana ulikuwepo lakini hujui asili ya neno
 
Nisijuaje wakati linaanza nilikuwepo na kulitumia!!

Ndiyo maana nikatoa mfanano na waha wa Sasa wanaokopesha vyombo.
Nisikubishie sana mkuu huwenda mimi ndo nikawa sijui mimi nilidhani inatokana na neno Marching guy
 
-Marching guy=Anayetembea amebeba bidhaa akiziuza.
-Check line=mkatizo,mapishano ya barabara na reli/railwaycrossing.
Hence,matamshi ya kiswahili kuunganisha maneno.
-Marching guy=machinga
-Check line=chekeleni.
Need I write more?
Neno machinga halina uhusiano na kiingereza kabisa itakuwa mtoto wa miaka 2000 au upo kijijjni
 
Machinga wa awali kwa asilimia kubwa walikuwa wanatokea jimbo la Mchinga, na ndiyo ikaanzishwa hiyo machinga.

Au nimekosea? Kuna jamaa aliniambia hivyo
Hii ni kweli kabisa. Umachinga chimbuko lake ni vijana kutoka maeneo hayo. Machinga wa mwanzo mwanzo wengi walitokea mikoa ya Kusini.
 
Lazima uone chai Kwa sababu wewe ni mtoto wa miaka ya 2000 au upo kijijini umeanza kusikia machinga minadani kuanzia miaka ya 2015
We mlugaluga ambae hujawahi hata kuvuka mpaka ndo unaniambia mi nipo kijijini?
 
Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors

Labda kama mulokozi alikuwa nabii miaka hiyo ya sabini
Moisemusajiografii

pappy hatton
 
Nisikubishie sana mkuu huwenda mimi ndo nikawa sijui mimi nilidhani inatokana na neno Marching guy
Hapana.

Sema Kuna watu Wana fikra za kumuabudu mzungu Kwa Kila jambo.

Yaani wao Kila kitu wanataka kionekane kimeasisiwa na mzungu!!
 
Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors

Lambda kama mulokozi alikuwa nabii miaka hiyo ya sabini
Moisemusajiografii

pappy hatton
Au Hawkers!!!

Hilo la marching Guy, ni mbwembwe tu za vijana huko Facebook.
 
Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors

Labda kama mulokozi alikuwa nabii miaka hiyo ya sabini
Moisemusajiografii

pappy hatton
Lugha huzaliwa,hukua na hata kufa.Unalijua hilo?Jiridhishe tena.Na vilevile,ukikataa unachoelezwa,ni vema ukaleta ulijualo kwa uhakika bila kukosa adabu na kumwambia mzee kama mimi ni wa 2000s!
 
Back
Top Bottom