Kamyamya
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 560
- 572
Hao ni kizazi cha 2000 bilashaka, wanatakiwa kujifunza historia kutoka Kwa wahenga na si mitandaoni tuHuu ndiyo ukweli. Hayo mambo eti asili yake ni Marching - guy ni uzushi tu Wa kifesibuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni kizazi cha 2000 bilashaka, wanatakiwa kujifunza historia kutoka Kwa wahenga na si mitandaoni tuHuu ndiyo ukweli. Hayo mambo eti asili yake ni Marching - guy ni uzushi tu Wa kifesibuku.
Yap.Hao ni kizazi cha 2000 bilashaka, wanatakiwa kujifunza historia kutoka Kwa wahenga na si mitandaoni tu
ChaiNeno hilo asili yake ni kabila la Mchinga lipo huko kusini. Vijana wa kimachinga toka huko Lindi? walijipatia umaarufu Jijini Dar es salaam katikati ya miaka ya tisini kwa kufanya biashara ya kuchuuza vitu Kam vile nguo,urembo,viatu,vyombo,n.k kwa kutembea mitaani au kupanga pembezoni mwa barabara ndio maana wachuuzi wanaotembeza vitu na wale wanaopanga maeneo yasiyo rasmi wamepewa jina hilo
Sasa hivi hili neno linatimika Tz mzima kuwakilisha
Huo ndiyo ukweli. Tuliokuwepo tunajua.Chai
Inawezekana ulikuwepo lakini hujui asili ya nenoHuo ndiyo ukweli. Tuliokuwepo tunajua.
Kwenye hili la wamachinga wengine ndiyo kwa lugha ya kiuandishi kwa kiingereza tunaitwa "authoritative and reliable source".
Nisijuaje wakati linaanza nilikuwepo na kulitumia!!Inawezekana ulikuwepo lakini hujui asili ya neno
Nisikubishie sana mkuu huwenda mimi ndo nikawa sijui mimi nilidhani inatokana na neno Marching guyNisijuaje wakati linaanza nilikuwepo na kulitumia!!
Ndiyo maana nikatoa mfanano na waha wa Sasa wanaokopesha vyombo.
Lazima uone chai Kwa sababu wewe ni mtoto wa miaka ya 2000 au upo kijijini umeanza kusikia machinga minadani kuanzia miaka ya 2015Chai
Neno machinga halina uhusiano na kiingereza kabisa itakuwa mtoto wa miaka 2000 au upo kijijjni-Marching guy=Anayetembea amebeba bidhaa akiziuza.
-Check line=mkatizo,mapishano ya barabara na reli/railwaycrossing.
Hence,matamshi ya kiswahili kuunganisha maneno.
-Marching guy=machinga
-Check line=chekeleni.
Need I write more?
Umepuyanga waukaeMatching guy ndo asili. Kwa wale wauza wadogo wanaozunguk kutafuta wateja. Lakini pia mtwara Kuna kabila linaitwa machinga
Hii ni kweli kabisa. Umachinga chimbuko lake ni vijana kutoka maeneo hayo. Machinga wa mwanzo mwanzo wengi walitokea mikoa ya Kusini.Machinga wa awali kwa asilimia kubwa walikuwa wanatokea jimbo la Mchinga, na ndiyo ikaanzishwa hiyo machinga.
Au nimekosea? Kuna jamaa aliniambia hivyo
We mlugaluga ambae hujawahi hata kuvuka mpaka ndo unaniambia mi nipo kijijini?Lazima uone chai Kwa sababu wewe ni mtoto wa miaka ya 2000 au upo kijijini umeanza kusikia machinga minadani kuanzia miaka ya 2015
Huwa mnatafuta kutukanwa.Stupid.Mimi niwe mtoto wa 2000 na mama yako mzazi awe amezaliwa mwaka gani?Neno machinga halina uhusiano na kiingereza kabisa itakuwa mtoto wa miaka 2000 au upo kijijjni
Mchinga kweli ipo ndio Jimbo ambalo mbunge ni salma kikwete mengine sijuiChai
Neno machinga halina uhusiano na kiingereza kabisa itakuwa mtoto wa miaka 2000 au upo kijijjni
Hawa machinga sijui wameanza lini maana nakumbuka 1970 Mulokozi ananiambia machinga maana yake, "marching guy".
Hapana.Nisikubishie sana mkuu huwenda mimi ndo nikawa sijui mimi nilidhani inatokana na neno Marching guy
Au Hawkers!!!Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors
Lambda kama mulokozi alikuwa nabii miaka hiyo ya sabini
Moisemusajiografii
pappy hatton
Lugha huzaliwa,hukua na hata kufa.Unalijua hilo?Jiridhishe tena.Na vilevile,ukikataa unachoelezwa,ni vema ukaleta ulijualo kwa uhakika bila kukosa adabu na kumwambia mzee kama mimi ni wa 2000s!Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors
Labda kama mulokozi alikuwa nabii miaka hiyo ya sabini
Moisemusajiografii
pappy hatton