chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Kwahiyo counties zote hizo saivi zinakaliwa na wakoloni? Ni ajabu huko, Tanzania ndio kabila mkoloni aliliogopa kuliko makabila yote.Wamaasai hawakai mahali pamoja, wanazurura na kuzunguka na mifugo sasa walinyang'anywa shamba zao na Wakoloni. Nairobi, Nakuru na Naivasha zilichukuliwa na Mkoloni wakati alikuwa anajenga reli kutoka Mombasa hadi Kampala. Maasai hangeweza kupigana na mkoloni.
π π π π Wakikuyu wamewatapeli wamasai ardhi yao kwa kisingizio eti wanahamahama hovyo π€£π€£π€£π€£[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254 kajifunga kwa kinywa chake mwenyewe
Kwahiyo counties zote hizo saivi zinakaliwa na wakoloni? Ni ajabu huko, Tanzania ndio kabila mkoloni aliliogopa kuliko makabila yote.
Serikali ya sasa ipo hovyo kila mtu anafanya atakalo sababu hatuna kiongozi, usichukulie hii hali ya mpito kama ndio tabia bali ni kwa sababu tuna uhaba wa uongozi kwa sasa!Hehehe!!! Sijaelewa nini unabweka bweka humu, Wamaasai popote walipita walipapatia jina, ikiwemo Eldoret ambayo ni mji ambao uko mbali.
Kwenu huko mumeshindwa kuwaelimisha Wamaasai wenu hawajui nini tofauti ya mashamba ya watu na maeneo ya malisho ya mifugo yao, na wakihojiwa wanafanya mauaji..... hata mkuu wa polisi kama ameshindwa.
Tunajaribu kukumbushana kwa mnao fahamu na tunajuzana kwa wasio fahamu.Hilo tumelifahamu tangu elimu ya msingi, Wamaasai asili yao ya kuhamahama (nomads) iliwezesha wakatunga majina ya maeneo mengi sana, kuanzia Arusha huko Tanzania mpaka Nairobi.