Jina "Nairobi" limetokana na lugha ya Kimasai

Jina "Nairobi" limetokana na lugha ya Kimasai

Wamaasai hawakai mahali pamoja, wanazurura na kuzunguka na mifugo sasa walinyang'anywa shamba zao na Wakoloni. Nairobi, Nakuru na Naivasha zilichukuliwa na Mkoloni wakati alikuwa anajenga reli kutoka Mombasa hadi Kampala. Maasai hangeweza kupigana na mkoloni.
Kwahiyo counties zote hizo saivi zinakaliwa na wakoloni? Ni ajabu huko, Tanzania ndio kabila mkoloni aliliogopa kuliko makabila yote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254 kajifunga kwa kinywa chake mwenyewe
😅😅😅😅 Wakikuyu wamewatapeli wamasai ardhi yao kwa kisingizio eti wanahamahama hovyo 🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo counties zote hizo saivi zinakaliwa na wakoloni? Ni ajabu huko, Tanzania ndio kabila mkoloni aliliogopa kuliko makabila yote.

Hehehe!!! Sijaelewa nini unabweka bweka humu, Wamaasai popote walipita walipapatia jina, ikiwemo Eldoret ambayo ni mji ambao uko mbali.

Kwenu huko mumeshindwa kuwaelimisha Wamaasai wenu hawajui nini tofauti ya mashamba ya watu na maeneo ya malisho ya mifugo yao, na wakihojiwa wanafanya mauaji..... hata mkuu wa polisi kama ameshindwa.

Serikali ya sasa ipo hovyo kila mtu anafanya atakalo sababu hatuna kiongozi, usichukulie hii hali ya mpito kama ndio tabia bali ni kwa sababu tuna uhaba wa uongozi kwa sasa!
 
Hilo tumelifahamu tangu elimu ya msingi, Wamaasai asili yao ya kuhamahama (nomads) iliwezesha wakatunga majina ya maeneo mengi sana, kuanzia Arusha huko Tanzania mpaka Nairobi.
Tunajaribu kukumbushana kwa mnao fahamu na tunajuzana kwa wasio fahamu.
 
Back
Top Bottom