chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Kwahiyo counties zote hizo saivi zinakaliwa na wakoloni? Ni ajabu huko, Tanzania ndio kabila mkoloni aliliogopa kuliko makabila yote.Wamaasai hawakai mahali pamoja, wanazurura na kuzunguka na mifugo sasa walinyang'anywa shamba zao na Wakoloni. Nairobi, Nakuru na Naivasha zilichukuliwa na Mkoloni wakati alikuwa anajenga reli kutoka Mombasa hadi Kampala. Maasai hangeweza kupigana na mkoloni.