Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
1,125
Reaction score
1,180
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.

Mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Acheni kutikisa muungano
 
Una miaka mingapi kijana? Kama ulizaliwa baada ya 1964 kwako hakuna kitu kinaitwa "Tanganyika". Waliozaliwa kabla ya 1964 wakisikia neno Tanganyika kinachowajia akilini mwao ni " Utumwa na Ukoloni". Kwa ufupi Tanzania haijawai kutawaliwa; Tanzania ni nchi huru yenye watu huru na mawazo huru kwa kuunganisha watu wa Zanzibar waliotengwa na wenzao kwasababu ya ukoloni! Najivunia kuitwa Mtanzania kuliko kuitwa Mtanganyika
 
Aisee hii ardhi ni ya mungu na ilishawahi kutawaliwa na mabeberu kwa mingi sana so unacho kisema sikiafiki kama ni jina la Tanzania lilianza kabla ya ardhi haya. Kumbuka uhuru tuliupata mwaka 1961 kwa jina la Tanganyika mpaka hapo 1964 tulipo ungana
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.
Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Kwa sababu watanganyika wamelelewa katika mazingira ya kutojiamini
 
Kweli mkuu binafsi ningependa litumike Tanganyika badala ya Tanzania. Ingekuwa tu Jamhuri ya Tanganyika hayo mengine yangebaki kiutawala na kisiasa.
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga

Mkuu Tanganyika ni nchi iliyokua haina historia hata jina lake halitakiwi kutumiwa usifananishe na zanzibar nchi ambayo ina historia ya karne 6.

Jina la Zanzibar lina nguvu kubwa kuishinda Tanzania.
 
Kwani kuungana lazima mbadilishe jina mbona nchi nyingi zimeungana na wakabaki na majina yao ya asili.

Jina Asili ni Azania

Tanganyika pia sio la asili

Kwanini utake tuitwe Tanganyika sio Azania?

Tanganyika tumepewa na mabeberu 1919
 
Nyie ndio mlikuwa mnasoma Maada zilizofutwa kwenye Mtaala ,mnafeli alafu mnanza kulalamika kwamba mumeonewa. Hakuna Serikali wala Nchi inaitwa Tangangika hii ilifutwa na Katiba ya tarehe 26 April,1977 ambayo iliunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kasome Katiba
 
1977? itakuwa typing error
 
Wacha kuchanganya mambo Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar, iweje Zanzibar inatajwa lakini Tanganyika inafukiwa na huu upuuzi uitwao Tanzania Bara
 
Back
Top Bottom