Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

Jina Asili ni Azania

Tanganyika pia sio la asili

Kwanini utake tuitwe Tanganyika sio Azania?

Tanganyika tumepewa na mabeberu 1919
Tanganyika na Zanzibar ndio imetoa Tanzania , iyo Azania tengeneza muungano wako mwenyewe, tunapaswa kulienzi jina Tanganyika kama wanavyolienzi jina Zanzibar
 
Tanzania ni tanganyika,ni usanii flani wa nyerere kuitawala zanzibar kwa mtutu wa bunduki.
 
Una miaka mingapi kijana? Kama ulizaliwa baada ya 1964 kwako hakuna kitu kinaitwa "Tanganyika". Waliozaliwa kabla ya 1964 wakisikia neno Tanganyika kinachowajia akilini mwao ni " Utumwa na Ukoloni". Kwa ufupi Tanzania haijawai kutawaliwa; Tanzania ni nchi huru yenye watu huru na mawazo huru kwa kuunganisha watu wa Zanzibar waliotengwa na wenzao kwasababu ya ukoloni! Najivunia kuitwa Mtanzania kuliko kuitwa Mtanganyika

!
!
Ndio Umeandika Utumbo Gani Huu?
Kuna Umuhimu Wa Kupitia Mitaala Yetu Upya.
Hivi Umeelewa Kweli Mada Hapo Juu?
 
1977? itakuwa typing error

Ndio ni " Typing Error "

Screenshot_20190927-140522.png
 
Wacha kuchanganya mambo Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar, iweje Zanzibar inatajwa lakini Tanganyika inafukiwa na huu upuuzi uitwao Tanzania Bara

Katiba imetafsiri kabisa kutakuwa na Serikali Mbili , " Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Mambo yote yanayohusu Tanzania Bara yatatekelezwa na Rais wa Muungano"
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.

Mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Zanzibar ni wapi kati ya Unguja na Pemba?
 
Mahizbu bana si mwende kwenu Omani? Hakuna Mzanzibar mweusi anaekataa Muungano.
Zanzibar ni wapi kati ya Unguja na Pemba?
Swala siyo hizbu au nini . waTanganyika tunalionea aibu jina la nchi yetu.

Haya mambo yalifanyika USSR ya zamani. Iliposambaratika kila moja alirudia jina lake la awali. Hata sisi tunajidanganya bure. Kuna siku Tanganyika itasimama tu
 
Na siku Tanzania ikifa Zanzibar haipo brother.... Nipo Unguja kwa sasa hawa wapemba na waunguja sio ndugu...
 
Katiba imetafsiri kabisa kutakuwa na Serikali Mbili , " Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Mambo yote yanayohusu Tanzania Bara yatatekelezwa na Rais wa Muungano"
Hayo ndio matatizo Zanzibar aijaungana na Tanzania Bara , bali imeungana na Tanganyika
 
Na siku Tanzania ikifa Zanzibar haipo brother.... Nipo Unguja kwa sasa hawa wapemba na waunguja sio ndugu...
Huwezi kukataa asili yako kwa kuhofia matatizo ya jirani . Ukweli tu, waTanganyika tunaikataa asili yetu.
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.

Mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga

Kwa mtu aliyeingia kwenye ndoa wholeheartedly, maiden name katu haiwezi kumkosesha usingizi!
 
Tanganyika ni wapi? Ilianza lini na je, kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa nini?
Wapuuzi wapo wengi sana. Majina mengi ya mikoa, mataifa , wilaya na vijiji vimetokana ama na Mito, milima, misitu, nyika, maziwa nk nk Fanya utafiti utajua nini maana ya Tanganyika.
 
Kwanini ushambulie personality yangu? Labda nikwambie mimi ni mtu wa Kigoma na Tanganyika naijua sana ila jina la nchi ya Tanganyika ni zao la ukoloni..
 
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.

Mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.

Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Tumeumbwa kuelekea mbele na kuendelea mbele...
Sasa yanini kurudisha historia nyuma!!!!
 
Tujadili mada kwa hekima na busara kwa faida ya Watanganyika na Wazanzibar. Na kuimarisha muungano.
 
Back
Top Bottom