Uwazitu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 1,419
- 1,397
Kwanini ushambulie personality yangu? Labda nikwambie mimi ni mtu wa Kigoma na Tanganyika naijua sana ila jina la nchi ya Tanganyika ni zao la ukoloni..
Mbona kenya ni ile ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ushambulie personality yangu? Labda nikwambie mimi ni mtu wa Kigoma na Tanganyika naijua sana ila jina la nchi ya Tanganyika ni zao la ukoloni..
Mkuu Tanganyika ni nchi iliyokua haina historia hata jina lake halitakiwi kutumiwa usifananishe na zanzibar nchi ambayo ina historia ya karne 6.
Jina la Zanzibar lina nguvu kubwa kuishinda Tanzania.
Hivi jina Zanzibar lilikuwepo kabla ya kuja kwa wakoloni?
Wanajitambua . Wale wote ni wasomi.Kwa nini chama cha mawakili upande wa bara kinaitwa Tanganyika Law society badala ya Tanzania Law society?
Mkuu utumwa gani?Una miaka mingapi kijana? Kama ulizaliwa baada ya 1964 kwako hakuna kitu kinaitwa "Tanganyika". Waliozaliwa kabla ya 1964 wakisikia neno Tanganyika kinachowajia akilini mwao ni " Utumwa na Ukoloni". Kwa ufupi Tanzania haijawai kutawaliwa; Tanzania ni nchi huru yenye watu huru na mawazo huru kwa kuunganisha watu wa Zanzibar waliotengwa na wenzao kwasababu ya ukoloni! Najivunia kuitwa Mtanzania kuliko kuitwa Mtanganyika
Watanganyika turudishiwe Tanganyika yetu wazanzibar ni watu wa kulia lia ila wote tunaona wana kila kitu. wana nchi, wana bunge,wana mahakama, wana rais wana bendera, wana katiba,wana sheria zao, wana vitambulisho vyao kiufupi wana kila kitu. Iko wapi tanganyika kama ilimezwa na tanzania mbona nzanzibar ipo. naomba kuwepo na serikali ya tanganyika pia ili kurahisisha maendeleo.
Mimi huwa nashangaaa tunapowakatalia wanapodai Muungano uvunjwe.Naunga mkono hoja.....
Eti ata ile mechi ya Jana waliandika Ni Kati ya Tanzania na Zanzibar!....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa maji kwanza,kisha urudi hapa!
Hizi hasira za nini?