Acheni kutikisa muunganoInapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.
Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Aisee hii ardhi ni ya mungu na ilishawahi kutawaliwa na mabeberu kwa mingi sana so unacho kisema sikiafiki kama ni jina la Tanzania lilianza kabla ya ardhi haya. Kumbuka uhuru tuliupata mwaka 1961 kwa jina la Tanganyika mpaka hapo 1964 tulipo unganaUna miaka mingapi kijana? Kama ulizaliwa baada ya 1964 kwako hakuna kitu kinaitwa "Tanganyika". Waliozaliwa kabla ya 1964 wakisikia neno Tanganyika kinachowajia akilini mwao ni " Utumwa na Ukoloni". Kwa ufupi Tanzania haijawai kutawaliwa; Tanzania ni nchi huru yenye watu huru na mawazo huru kwa kuunganisha watu wa Zanzibar waliotengwa na wenzao kwasababu ya ukoloni! Najivunia kuitwa Mtanzania kuliko kuitwa Mtanganyika
Kwa sababu watanganyika wamelelewa katika mazingira ya kutojiaminiInapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.
Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Tanganyika ni eneo la Tanga lililo nyikani yaani mbali na ufukwe wa bahariTanganyika maana yake nini?
Kweli mkuu binafsi ningependa litumike Tanganyika badala ya Tanzania. Ingekuwa tu Jamhuri ya Tanganyika hayo mengine yangebaki kiutawala na kisiasa.Kwa sababu watanganyika wamelelewa katika mazingira ya kutojiamini
Kwani kuungana lazima mbadilishe jina mbona nchi nyingi zimeungana na wakabaki na majina yao ya asili.Maadui wa Muungano wanarudi kwa style tofauti
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.mfano mashindano ya Moira Afrika mashariki yansyafanyika uko Uganda.
Tunashindwa kuienzi Nchi yetu ya Tanganyika.hivi muungano ukifa nchi hii itaendelea kutumia jina hili?huu ujinga
Kwani kuungana lazima mbadilishe jina mbona nchi nyingi zimeungana na wakabaki na majina yao ya asili.
Nyie ndio mlikuwa mnasoma Maada zilizofutwa kwenye Mtaala ,mnafeli alafu mnanza kulalamika kwamba mumeonewa. Hakuna Serikali wala Nchi inaitwa Tangangika hii ilifutwa na Katiba ya tarehe 26 April,1977 ambayo iliunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kasome Katiba
OkTanganyika ni eneo la Tanga lililo nyikani yaani mbali na ufukwe wa bahari
Wacha kuchanganya mambo Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar, iweje Zanzibar inatajwa lakini Tanganyika inafukiwa na huu upuuzi uitwao Tanzania BaraNyie ndio mlikuwa mnasoma Maada zilizofutwa kwenye Mtaala ,mnafeli alafu mnanza kulalamika kwamba mumeonewa. Hakuna Serikali wala Nchi inaitwa Tangangika hii ilifutwa na Katiba ya tarehe 26 April,1977 ambayo iliunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kasome Katiba