Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

Hivi jina Zanzibar lilikuwepo kabla ya kuja kwa wakoloni?
Mkuu Tanganyika ni nchi iliyokua haina historia hata jina lake halitakiwi kutumiwa usifananishe na zanzibar nchi ambayo ina historia ya karne 6.

Jina la Zanzibar lina nguvu kubwa kuishinda Tanzania.
 
Kutaja jina la Tanganyika ni sawa na kutaja jina la marehemu aliyekufa siku nyingi.
 
Kwa nini chama cha mawakili upande wa bara kinaitwa Tanganyika Law society badala ya Tanzania Law society?
 
Mkuu utumwa gani?
 
Watanganyika turudishiwe Tanganyika yetu wazanzibar ni watu wa kulia lia ila wote tunaona wana kila kitu.

Wana nchi, wana bunge,wana mahakama, wana rais wana bendera, wana katiba,wana sheria zao, wana vitambulisho vyao kiufupi wana kila kitu.

Iko wapi Tanganyika kama ilimezwa na Tanzania mbona Zanzibar ipo.

Naomba kuwepo na serikali ya Tanganyika pia ili kurahisisha maendeleo ya Watanganyika..
 
Naunga mkono hoja.....

Eti ata ile mechi ya Jana waliandika Ni Kati ya Tanzania na Zanzibar!....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nashangaaa tunapowakatalia wanapodai Muungano uvunjwe.
 
Wadanganyika...
Sasa hivi kuna wazanzibara...pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…